Hii ndio kauli niliyoambiwa na wife wangu kipindi hiko nipo moto balaa michepuko kama yotesieli nawaza misabwana tu.
Hii kauli ilibadili maisha yangu sana.
Nikawa mpolee na familia..
Wewe...
Kudadadeki kamata Kiteknolojia Mfumo wa Mawasiliano hasa wa Ndege(Anga) kisha fuatilia kwa umakini sana Ratiba za Kiongozi wa Juu kisha msetini vyema katika Target na akijaa tu ingilieni Mfumo wa...
Kosa langu nini ni Vannesa?
Mchana usiku bado nakuwaza Vannesa. Siku wiki miaka inapita bado nakuwaza Vannesa . Kosa langu nini Vannesa?
Kwa jina naitwa Assenga Mashauri . Ni kijana wa miaka 28...
Nilipohoji kuhusu uvaaji wa mchungaji Tony Kapola kuna watu hususan wanawake walinivaa kwa ukali kwamba nina wivu niwaachie mchungaji wao, kwamba uvaaji wake ni wa kawaida, kwamba uvaaji wa kisasa...
Mchezo wa kwanza wa Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika unapigwa leo katika dimba la Olympique Hammadi Agrebi baina ya wenyeji Esperance dhidi ya mabingwa watetezi Al Ahly.
Mchezo huo unatarajiwa...
Inaitwa Antonov An-225 Mriya ndege hili anasimama kama bingwa asiyepingwa Kwa ukubwa ni ndege toka Urusi ndege la mizigo.
Kwa bahati mbaya sana aliangamizwa kwenye vita vya Ukraine 2022. Ikiwa na...
Aliyekuwa mtumishi wa Jeshi la Magereza Tanzania, Salum Shamte (56), amesimulia namna kanuni za kukokotoa mafao (kikokotoo) ilivyosababisha apigwe butwaa baada ya kupokea ujumbe (sms) wa kiasi cha...
Salaam, Shalom!!
Miaka ya zamani kidogo nilikuwa katika Taasisi Moja kubwa, Kuna kiongozi mmoja kazini akanialika twende tukapate supu ya mbuzi,
Tulipofikia eneo lile kumbe Bana, supu ya mbuzi...
Ni uzi mwingine tena kuhusu Application za kukopesha watu ukiwa na dharura.
Sijakopa, ila hii weekend nimetumiwa zaidi ya meseji 8 tofauti tofauti ya watu wanne nnaowajua wamekopa na hawajalipa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.