Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
Nipo kwa nyumba ya kupanga nimeagiza mbuzi wa kufuga, hapo napoishi kuna jamaa naona anafungia mbuzi kamba wanajilea tu, sina kwa kuwalaza usiku ila mchana haina shida.
Nawaza nikiwaleta...
Kwa sasa hivi pesa ya kigeni hususani dola haipatikani hata kwenye mabenki ambayo sekta zetu binafsi zinafanya nazo biashara. Mambo yanakwama inapofika kuagiza mahitaji kutoka nje ambavyo ni...
MARA NNE MFULULIZO, MARA SITA KWA MIAKA SABA
2018: Manchester City 🏆
2019: Manchester City 🏆
2020: Liverpool 🏆
2021: Manchester City 🏆
2022: Manchester City 🏆
2023: Manchester City 🏆
2024...
Hawa miamba wa Kiarabu niliowataja Vifo vyao vimekuwa kana kwamba ni Watu wasio na intelejensia inayowalinda
Japokuwa hii ya Ebrahim Raisi inadaiwa inatokana na Exodus 14:14 " Mungu Atawapigania...
Kudadadeki kamata Kiteknolojia Mfumo wa Mawasiliano hasa wa Ndege(Anga) kisha fuatilia kwa umakini sana Ratiba za Kiongozi wa Juu kisha msetini vyema katika Target na akijaa tu ingilieni Mfumo wa...
Leo ni jumatatu na kama ilivyo Ada watu wako busy haswaa....pamoja na uchovu wa week end lakini watu wanajongea maeneo Yao ya kujitafutia rizikii.
Bila shaka na nyie wa JF wenzangu mko sawa kabisa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.