Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Najiuliza tu hawa jamaa wanawezaje kumbeba raisi kwenye helicopter ya mwaka 1978?? 🫤 Na matambo yao yote ya kurusha drone na misile 300 ambazo zote zilidondoka njiani, bado kumbeba raisi...
11 Reactions
34 Replies
819 Views
Tukutane wote wenye virusi vya ukimwi na kuelezana ulijisikiaje ulipoambiwa kuwa una upungufu wa kinga mwilini? Mimi nakumbuka ilikuwa 2020, mwezi wa 7 tarehe 17 nilipima katika hospitali moja ya...
102 Reactions
654 Replies
23K Views
Nilipohoji kuhusu uvaaji wa mchungaji Tony Kapola kuna watu hususan wanawake walinivaa kwa ukali kwamba nina wivu niwaachie mchungaji wao, kwamba uvaaji wake ni wa kawaida, kwamba uvaaji wa kisasa...
4 Reactions
61 Replies
1K Views
AWALI mods namaomba msiunganishe huu uzi, umejikita kiinteligensia, facts na uchambuzi wa evidences zaidi ya ushabiki wa ule uzi mwingine. eti nini ?! Eti hali mbaya ya nini ?! LIKO WAZI CHOPA YA...
0 Reactions
20 Replies
418 Views
Ndugu wana JF - Jukwaa la Siasa; Mjadala wa muungano tata wa Tanganyika na Zanzibar (1964) unaendelea tena leo.... Na kwa kweli mjadala huu haupaswi kuishia njiani isipokuwa tu wote tumeelewana...
8 Reactions
178 Replies
4K Views
Vijana wengi wasio na wake wanapaswa kuwa na mafanikio zaidi kuliko walivyo sasa, Lakini kwa sababu wanatumia pesa nyingi kwa wanawake ambao sio wake zao, ndio maana hawafanikiwi. Bro unajua...
60 Reactions
533 Replies
9K Views
... [emoji471] 𝗖𝗛𝗔𝗠𝗣𝗜𝗢𝗡𝗦 [emoji91] Kabla Pep hajatua England wachambuzi wa England walikuwa wanaziponda ligi zingine kwa kuziita ni FARMER LEAGUE. Kwamba ligi hizo hazina ushindani kama ligi yao...
2 Reactions
4 Replies
136 Views
Habari watu wa Mungu. Nimetokea kuvutiwa na mchungaji Irene kwakua anayaongea matukio halisi ya kibinadamu na uhusiano wa binadamu na Mungu. Wachungaji na manabii wengi wamekua ni waongo na...
22 Reactions
248 Replies
6K Views
Tunaona taarifa na mjadala kuhusu ajali ya helkopta inayodaiwa ilimbeba Rais wa Iran. Ikumbukwe siku chache Iran ilivamia Israel kwa makombora /ndege zisizo na rubani na Israel waliahidi kulipiza...
11 Reactions
135 Replies
4K Views
Baby . Reo nirienda kupima mareria nikaambiwa na dokita nina yutiyai,naomba unitumie era ya dawa,nitafulai sana........ Mwanamke wa hivi ni bora nikae mwenyewe
8 Reactions
22 Replies
85 Views

FORUM STATS

Threads
1,855,390
Posts
49,661,503
Back
Top Bottom