Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Salaam, Shalom!! Miaka ya zamani kidogo nilikuwa katika Taasisi Moja kubwa, Kuna kiongozi mmoja kazini akanialika twende tukapate supu ya mbuzi, Tulipofikia eneo lile kumbe Bana, supu ya mbuzi...
36 Reactions
194 Replies
3K Views
Imethibitishwa kuwa raisi wa Iran alikuwa ndani ya helicopter hiyo iliyopata ajali. Vikosi vya uokoaji vimeshindwa kutambua na kufika neo husika ilipotokea ajali hiyo kwa sababu ya hali mbaya ya...
19 Reactions
498 Replies
13K Views
Ninaonesha dalili zifutazo 1. Homa kali kichwa kama kinawaka moto 2. Maumivu ya mgongo 3. Maumivu ya kichwa 4. Kuhisi kama unachanganyikiwa Kama kuna mtu ashawai pata hilo tatizo anikosoe.
2 Reactions
11 Replies
101 Views
Habari za muda huu. Kumeripotiwa milipuko mikubwa kadhaa ndani ya Iran, Syria na Iraq. PIA SOMA: - LIVE - UPDATES: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Iran na Israel - Mafuta kupanda bei baada ya...
14 Reactions
652 Replies
28K Views
Hii kumchangia changia ili anunue gari ni danganya toto tu lkn ukweli ni kuwa Maria na wanaharakati wenzake ndani ha Chadema wanamshawishi Lissu agombee uenyekiti wa Chama wakidhani kwa akili zao...
2 Reactions
12 Replies
177 Views
Hatujui mpaka sasa kumechangwa sh ngapi, maana mepita kitambo kirefu, lakini kwa yale masaa 24 ya mwanzo, Pesa iliyopatikana ilikuwa zaidi ya ml 10 za kitanzania. Kwa wabongo waliopigika...
16 Reactions
81 Replies
2K Views
They say 'life begins at forty!' Sasa kama wewe umeshafikisha miaka 40 au umebakiza siku au miezi kadhaa, hebu tujuzane ni nini umejifunza? Ni mangapi umefanikisha? Changamoto ni zipi za kusaidia...
3 Reactions
46 Replies
375 Views
Tuzo hii itakuwa kivutio kwa mabinti na itakuwa chachu ya mabinti kutunza usichana wao mpk siku ya ndoa. Tunzo hii iendeshwe nchi nzima kila ngazi "ngazi msingi" i.e kila kitongoji/mtaa. Vyeti...
9 Reactions
87 Replies
581 Views
  • Sticky
Full name: Chelsea Football Club Nickname(s): The Blues, The Pensioners Founded: 10 March 1905 League: Premier League Website: ChelseaFC.com Ground: Stamford Bridge, (Capacity...
154 Reactions
121K Replies
7M Views

FORUM STATS

Threads
1,855,253
Posts
49,656,677
Back
Top Bottom