Hatujui mpaka sasa ikumechangwa sh ngapi, maana mepita kitambo kirefu, lakini kwa yale masaa 24 ya mwanzo, Pesa iliyopatikana ilikuwa zaidi ya ml 10 za kitanzania.
Kwa wabongo waliopigika...
Watu wanaweka contents za Maana sana lakini mnakwenda kuunga kwenye uzi ambao hauendani kabisa kisa ni tukio moja au mtu aliyetaja
TAFSIRI YETU NI KWAMBA MNATUKA KUFICHA BAADHI YA MAMBO...
Huyu ni msichana ambae nimekua nae kwenye mahusiano kwa zaidi ya miaka miwili
Pamoja na changamoto za hapa na pale za kimahusiano lakini tulijitahidi kuwa pamoja kwa kipindi chote hicho.
Kuna...
Imethibitishwa kuwa raisi wa Irani alikuwa ndani ya helicopter hiyo iliyopata ajali.
Vikosi vya uokoaji vimeshindwa kutambua na kufika neo husika ilipotokea ajali hiyo kwa sababu ya hali mbaya ya...
Wadau mimi nimekuwa atheist kwa miaka 20, sasa nikiwa mdau mkubwa sayansi technology and fact, scientific theories.
Nimekua nikiiona huruma sana jinsi dini ya ukristo inavusambaa kwa kasi na...
Hapa simlaumu Roboti aliyepewa jina la Eunice bali namlaumu mwanadamu aliyempatia huyo robot jina hilo ambalo mama yangu amelitumia kwa muda mrefu.
Mama alipewa jina hilo baada ya kubatizwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.