Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Straight forward, serikali Kupitia wizara ya mawasiliano na teknolojia imenunua mdoli wa kikubwa wao wanaitwa roboti. Kuna tofauti kubwa sana kati ya mdoli na roboti, hili letu ni mdoli kwanza...
1 Reactions
1 Replies
10 Views
Salamu za Pongezi
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Kipindi cha mwaka 2020 kuna Ndugu zangu waliokuwa Canada walikuwa wanaagiza nguo na viatu kupitia DHL Kutoka hapa Bongo na sababu kuu walikuwa wanasma Bidhaa za Za mavazi Canada ni Ghali kupinduka...
16 Reactions
63 Replies
1K Views
Naombeni kujuzwa ni kwanini waganga wa kienyeji wanazikwa wakiwa wamekaa kwenye kiti pia makaburi yao ni mviringo kama kisima, mwenye uelewa ni kwanini anijuze. Na je ikitokea amezikwa kawaida...
3 Reactions
38 Replies
635 Views
Hapa simlaumu Roboti aliyepewa jina la Eunice bali namlaumu mwanadamu aliyempatia huyo robot jina hilo ambalo mama yangu amelitumia kwa muda mrefu. Mama alipewa jina hilo baada ya kubatizwa na...
3 Reactions
10 Replies
67 Views
HABARI WAKUBWA TUNAUZA PC KWA BEI YA PUNGUZO BABU KUBWA.! KWA TSH 700,000/= tu..🔥🔥 UNAJIPATIA.! Brand: LENOVO🥇 Model: LENOVO L13 YOGA X360💥 FULL SPECIFICATIONS ————————————— 🌟Generation 10th...
0 Reactions
1 Replies
20 Views
Mkuu wa mkoa wa Arusha mh Paul Makonda amewaagiza Takukuru kumkamata DED wa Arusha na Watendaji wake wanaotuhumiwa kufisadi tsh 19 million za mwekezaji wa sekta ya Utalij Chamburo Aidha RC...
21 Reactions
118 Replies
4K Views
Kumekuwa na sintofahamu kati ya Majiji haya mawaili yanatotikisa Tanzania ukiachilia Dar. Majiji haya yamezua gumzo miongoni mwa watu kwa kujaribu kuyashindanisha lakini pamoja na kuyashindanisha...
4 Reactions
7K Replies
200K Views
Is it a coincidence? Lissu alitoa a "Heil Hitler" salute kwa wananchi na wanachama wake wa CHADEMA. Ukisoma historia ya Adolf Hitler, unaweza kulinganisha hawa watu wawili. Je.............?
5 Reactions
47 Replies
1K Views
Mwanzo kulikua na huo mpango wa kujaza maji kwenye mahandaki wanayoishi Hamas ( kwa mujibu wa IDF) je ule mpango uli fail? Hii nchi kwa sasa jamani inahitaji maombi kila mtu lwa imani yake maana...
3 Reactions
5 Replies
46 Views

FORUM STATS

Threads
1,855,088
Posts
49,650,852
Back
Top Bottom