Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Salaam Wakuu, Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi. Tuzujane hapa kianachojiri.. Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
108 Reactions
137K Replies
9M Views
Hii ni kwa wale wote ambao kwa namna moja au nyingine hawajiamini,wanajiona hawana thamani,huenda wanajiona hawana umuhimu wowote katika jamii na wamekata tamaa. Nina habari nzuri kwako hicho sio...
3 Reactions
6 Replies
60 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
517K Replies
30M Views
Bora ningemuongezea mama yangu ghorofa nyingine masaki kuliko huyu Mwanamke asie na utu na shukrani
1 Reactions
13 Replies
156 Views
Mwanzo kulikua na huo mpango wa kujaza maji kwenye mahandaki wanayoishi Hamas ( kwa mujibu wa IDF) je ule mpango uli fail? Hii nchi kwa sasa jamani inahitaji maombi kila mtu lwa imani yake maana...
0 Reactions
1 Replies
12 Views
Tasnia ya sanaa inaoneka kuwa mtu akiwa mwanamuziki au muigizaji au muhuni lakini imeonekana kuwa na faida baada ya kutoa viongozi mbalimbali nchini. Baadhi ni hawa: 1. Hamis Mwinjuma 'Mwana FA'...
1 Reactions
1 Replies
23 Views
Wadau Wanasheria naomba msaada wenu juu ya hatua za kuichukulia Halmashauri iliyokataa kutekeleza HUKUMU ya MAHAKAMA KUU ya Mgogoro wa kiwanja. Baada ya Kushinda Kesi nilimwandikia Mkurugenzi wa...
2 Reactions
11 Replies
357 Views
Future wife ni mjasiriamali mzuri ila mkoa ninapofanyia kazi hakuna mishe mishe mzunguko mdogo watu wengi hawana kazi so wamekalia majungu sana na usengenyaji nilichofikiria ni kupanga maghetto...
1 Reactions
7 Replies
103 Views
Nilishawahi kuletaga thread ya mimi kuwa na hisia zinazonichanganya na wakati mwingine nazitumia kutabiri matokeo ya jambo fulani. Kama mwezi mmoja kabla ya tukio la October 7 mdogo wangu wa...
1 Reactions
1 Replies
36 Views
Habari watu wa Mungu. Nimetokea kuvutiwa na mchungaji Irene kwakua anayaongea matukio halisi ya kibinadamu na uhusiano wa binadamu na Mungu. Wachungaji na manabii wengi wamekua ni waongo na...
21 Reactions
202 Replies
4K Views

FORUM STATS

Threads
1,855,082
Posts
49,650,651
Back
Top Bottom