Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ni kawaida kwa taasis za serikali kukuta viongozi wote ni wakristo. Lakini ikitokea viongozi wa wili tu yaani mkuu wa taasiai na msaidizi wake ni waislami kelelwe nchi nzima. Nimemaliza.
3 Reactions
47 Replies
285 Views
Askofu mkuu wa makanisa ya Methodist,Joseph Bundala amejinyonga ofisini kwake kwa kutumia waya wa simu. --- ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Methodist Tanzania, Joseph Bundala (55), amekutwa amejinyonga...
10 Reactions
73 Replies
2K Views
MABENKI YETU TZ JAPO YAPO REGULATED LAKIN NAZAN KUNA WIZI UNAENDELEA HASA KWENYE MIKOPO Katika hali ya kawaid nmeihash familia mkoa x kwend mkoa B na huko Tayar nilikuw kwenye hatua za awali san...
0 Reactions
4 Replies
40 Views
DR. TAMIM DAKTARI AMBAE HAKUGOMA MADAKTARI WALIPOGOMA Nimempiga Dr. Tamim picha nyingi na zote ninazo zipo Maktaba. Kila picha niliyompiga nilijitahidi kumpelekea nakala. Tabu iliyonifika ni...
9 Reactions
40 Replies
609 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
927 Reactions
1M Replies
40M Views
Haya ni maisha ya kawaida kwa mikoa iliyo mingi hapa Tanzania labda ukiiondoa Dar pekee. Maisha ya mikoani ni full kufatiliana wajue unafanya nini au unapanga kufanya nini na lengo sio kusaidia...
3 Reactions
14 Replies
285 Views
Hivi mfumo wa kutuma maombi ya ajira jeshi la polisi ni kwangu tuu unasumbua ama na wengine mmekutana na changamoto hii?
2 Reactions
193 Replies
12K Views
kupigwa makwenzi, makofi, ngwara, ngumi au mateke na mwenzi wako wa kike, hadharani au faragha ni sahihi hata kama umekosea? Jamaa, jirani mwenye ndoa yake mtaani, na ana nafasi kubwa tu miongoni...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
TABASAMU lako ndio furaha yako ya mwili. Jipende na kujiweka kama mwanamke mwenye heshima na akili. Tambua kwamba mwanaume wa kweli ni yule anayejua thamani yako na kukujali kwa kila kitu! ❤️
0 Reactions
1 Replies
2 Views

FORUM STATS

Threads
1,855,025
Posts
49,648,574
Back
Top Bottom