"Samahani sana ninavyokuona sio kama nilivyotegemea, HATUENDANI"... baada ya kusema hivyo jamaa aliyekuwa naye kwenye Toyota Hiace nyeupe akaniangalia na kutabasamu kisha akaondoa gari. Mimi...
Wakuu salaama!
Nikawaida sana sisi wanaume kutongoza Tena bila kujari mwanamke anacheo Gani kaolewa ana mchumba au lah.
Mara zote yeye ndo husema kama ana mtu ama ana kazi gani.
Mdada mmoja...
Hii ndio Habari mpya inayozunguka mitandaoni kwa sasa, kwamba yule Nesi Mwamba aliyehakikisha Lissu anaendelea kupumua amekutana na Tundu Lissu Jijini Dodoma.
Pamoja na mengi yaliyozungumzwa kati...
Wiki iliyopita katika mizunguko yangu ya kusaka noti nilipanda daladala iliyokatiza Kurasini, kuna mahali magari yakasimama kuruhusu wanajeshi wengi waliokuwa wakivuka barabara kwa makundi huku...
Fikiri mara mbili kabla hujaamua kufuga mbwa hawa nyumbani kwako.
Airedale Terrier
Airedale Terriers ni mbwa wanaopenda kujitegemea na kuwa huru. Ni mbwa wenye akili sana lakini ni wasumbufu...
Mimi ni mwanamke, umri 36, naishi Singida, makazi rasmi ni Arusha. Kazi ni Secretary nimeajiriwa na kampuni binafsi, sijaolewa nina mtoto 1, Mkristo mhofu ya Mungu, body size medium, situmii...
DR. TAMIM DAKTARI AMBAE HAKUGOMA MADAKTARI WALIPOGOMA
Nimempiga Dr. Tamim picha nyingi na zote ninazo zipo Maktaba.
Kila picha niliyompiga nilijitahidi kumpelekea nakala.
Tabu iliyonifika ni...
Wakati Makonda anakiwasha sana kule Arusha kwa mkurugenzi wa jiji la Arusha kule Tabora mkurugenzi wa Sikonge nae hali ngumu sana baada ya hospital ya halmashauri kuonekana kama ilijengwa chini ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.