Awe na sifa hizi
✓awe mrefu wa wasitani
✓awe mweupe kidogo au maji ya kunde
✓Asiwe na mtoto
✓Elimu kuanzia kidato cha nne
✓kabila lolote isipokuwa muha na mkurya
✓umri miaka 23 Hadi 27
✓Awe...
Ni kawaida kwa taasis za serikali kukuta viongozi wote ni wakristo. Lakini ikitokea viongozi wa wili tu yaani mkuu wa taasiai na msaidizi wake ni waislami kelelwe nchi nzima.
Nimemaliza.
Ndugu zangu, kwasasa nipo nje ya ajira. Nahitaji kuchukua mafao yangu ya NSSF. Sasa, jina langu la kwenye account ya NSSF limetofautiana kidoogo na jina langu la kwenye kitambulisho Cha kupigia...
Habari watu wa Mungu. Nimetokea kuvutiwa na mchungaji Irene kwakua anayaongea matukio halisi ya kibinadamu na uhusiano wa binadamu na Mungu.
Wachungaji na manabii wengi wamekua ni waongo na...
Mbunge wa Tarime Vijijini akichangia hotuba ya wizara ya Maendeleo ya Jamii amesema kama hao wanatupa Misaada ya Kibajeti wanatuwekea Masharti ya Ushoga basi Misaada yao hatuitaki
Mwita Waitara...
Maisha ya chuo yana vurugu nyingi sana za kingono. Hosteli watu wanapigana "exile" kila siku. Waliopanga mitaani wanapika na kupakua pamoja kana kwamba wameoana. Wadada wengine wanapigwa "mtungo"...
Wakuu natumai mu wazima!
Kuna wimbi la Be Forward kuleta magari mabovu ambayo yanasabibisha usumbufu mkubwa kwetu sisi wateja.
Nimenunua Alphard- nikaambiwa imefanyiwa mpaka na Inspection, na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.