Naomba leo anayejua anieleweshe hapa, kwa nia nzuri kabisa. Yesu alisema tuombe kwa kupitia Jina lake, inakuwaje watu wanaomba kupitia maria? naangalia tumaini tv hapa padre akasema tuombe kwa...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Hii haijawahi kutokea, najua unajua lakini nakujuza ujue zaidi. Rais Samia amekusanya mabilioni ya dola kwa ajili ya nishati salama.
Kwa hakika Samia ndiye Rais mwenye ushawishi mkubwa duniani...
Wakuu nlileta kisa hum baada ya kusex na binti anaetumia dawa na hakuniambia, ila siku anakuja mda ulikua umeenda sana na nlitakiwa kuwahi kazini..so kwenye ile sex nlifanya chini ya dakika 2...
Mlango wa fahamu wa sita ni ule uwezo wa kunusa hatari au kufikiria hatua kumi mbele kabla ya tatizo halijatokea na kuweza kulizuia( pre-emption) na matumizi ya akili ya ziada(The use of...
Habari wakuu,
Tangu kutangazwa kwa hizi ajira za polisi 09/05/2024 mpaka leo bado sijafanikiwa Ku Signin kwenye huo mfumo.
Kila nikijaribu haufunguki, je kuna mtu amefanikiwa kukamilisha maombi...
Salaam Wakuu,
Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi.
Tuzujane hapa kianachojiri..
Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
Ushawahi kusikia kauli kama hii kutoka kwa mwanamke? Ukweli ni kwamba ambae anakua tayari kwa kuoa ni mwanaume ambae ataenda kubeba jukumu la kutoa security katika familia, kwa maana iyo mwanaume...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.