Kwa mujibu wa Mtaalam wa Afya ( Daktari ) na Mwanasaikolojia aliyekuwa akizungumza Channel Ten ( ipo YouTube ) kwa wala Matomaso ( Wasiotaka ) Kuamini wakajiridhishe ni kwamba amesema kuwa Dunia...
Ipo hivi uyu ni Dada kabisa,anamfalakano kwenye ndoa yake. Yeye alianza na uyu mwanaume toka shuleni,toka wanasoma mpaka sasa, na wamebalikiwa kupata watoto, wawili na uyo mwanamme,yeye ni...
Hapo zamani nchini Kongo kulikua na jamii iliyoamini kwamba wanawake wenye vichwa virefu Wanavutia (WAZURI) zaidi na wanaume wenye vichwa virefu wanakua na NGUVU zaidi na AKILI sana.
Hivyo basi...
Jaman mimi ni muajiriwa nafasi fulani ya juu kidogo hapa nchini.
Nimeweza kupata mil 70 ambayo ni matokeo ya SAVING ya muda mrefu na hela zangu fulani nilikuwa nazidai kulipwa.
Mpango nilionao ni...
“Tumepokea ugeni mzito kutoka moja ya Klabu kubwa Barani Afrika, TP Mazembe ya DR Congo ambao wamevutiwa na namna Klabu yetu ya Yanga inavyoendeshwa hivyo wamekuja hapa Tanzania kujifunza mambo...
Wakuu Heshima mbele!
Jana nilipokuwa natazama vikao vya bunge vinavyoendelea Dodoma.
Mbunge msambantavangu alikuwa akizungumza kuhusu ukatili wa kijinsia, anasema imekuwa ni kawaida kuripoti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.