Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
518K Replies
30M Views
Aziz Ki hatimaye amemalizana na Yanga na sasa anaenda kucheza South Africa. Bado sijapata uhakika ni timu gani ila kati ya Kaizer Chiefs au Orlando. Yanga wameshindwa mpa ofa anayotaka. Sad part...
2 Reactions
17 Replies
375 Views
Je, unajiskiaje wenzako wa rika lako wakiwa mbele kimaendeleo Yani wamekuacha. Je, utakuwa Karibu nao kwa kujipendekeza ili wakupe connection Au utaamua kujitenga nao?
3 Reactions
25 Replies
137 Views
Ligi ya NBC inaendelea leo ambapo Simba SC itapambana na Geita Gold kwenye uwanja wa Chamazi Complex. Simba inatafuta nafasi ya 2 huku Geita Gold ikijinusuru kushuka daraja. Mechi hii itapigwa...
5 Reactions
229 Replies
5K Views
Imeshanitokea mara nyingi hii kitu na inapeleka mahusiano yangu mengi nayavunjika sana. Yaani upo na mwenzako faragha ila ili ufike mshindo unaanza kufumba macho na kuvuta hisia ya demu mwingine...
6 Reactions
25 Replies
432 Views
Ni vizuri zaidi kumshukuru na kumuomba mungu kila wakati, bila kuchoka wala kukata tamaa. Sio tabia njema wala sio tabia nzuri kujenga mazingira au hali ya huruma na kuombaomba kwa wanyonge ambao...
10 Reactions
62 Replies
831 Views
Hivi mfumo wa kutuma maombi ya ajira jeshi la polisi ni kwangu tuu unasumbua ama na wengine mmekutana na changamoto hii?
2 Reactions
302 Replies
20K Views
Tofauti na ndege za abiria kubwa,helkopta inaruka kwenda juu sawa na ndege ndogo za abiria.Si zaidi ya futi 10000. Ziko chche ambazo zimewekewa injini za turbine ambazo ni za kisasa ambazo...
4 Reactions
6 Replies
280 Views
Tarehe 21 mwezi May mwaka 1996 ilitokea ajali mbaya ya meli kwenye Ziwa Victoria kilomita chache kabla ya kufika kwenye bandari ya jiji la Mwanza. Meli ya MV Bukoba ilipinduka na kuchukua maisha...
5 Reactions
20 Replies
286 Views
Wadau hamjamboni nyote? Ni tetesi tu wakuu wangu ambazo mtoa taarifa wangu bado hajawasilishwa rasmi ushahidi wake kuthibitisha anachodai kuwa chanzo cha tukio husika Kwamba kumbe katika...
0 Reactions
8 Replies
341 Views

FORUM STATS

Threads
1,855,817
Posts
49,673,541
Back
Top Bottom