Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mbunge wa Iringa mjini mh Jesca ameitaka serikali kupiga marufuku Waigizaji wa Kiume kuigiza kama Wanawake Jesca amesema Wanaume hawa wakishazoea kuigiza kama Wanawake wanaweza kujisahau na...
5 Reactions
17 Replies
317 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
518K Replies
30M Views
Mtu mweusi hatenganishwi na makando-Kandi. Mnashida gani lakini?
1 Reactions
2 Replies
3 Views
Shunie Extrovert Jimena FRANC THE GREAT The 13 Mnazareth Daudi Mchambuzi Dinazarde Carleen Wangari Maathai Mshana Jr
26 Reactions
6K Replies
131K Views
Wakuu habari, samahani ivi inawezekana kubadilisha majina baadhi kwenye nida ili iendane na vyeti vya shule kwa uharaka yaani muda mchache, mfano kwenye vyeti nilikuwa natumia, ROMAN J ROMAN...
1 Reactions
3 Replies
4 Views
Habari zenu Watanzania, Jamani mfumo wa maisha umebadilika sana tupo ulimwengu wa Technolojia ya hali ya juu. Sababu ya kuandika uzi huu imetokana na kupokea habari ya msiba ya aliekuwa rafiki...
7 Reactions
20 Replies
234 Views
E bana wanajamvi inakuwaje? Nyie Sunni tunawajuwa vizuri mlivyo na chuki kwetu. Huu msiba wa mpendwa wetu Ebrahim Raisi ni wetu washia siyo wenu. Acheni kujipendekeza. Mtuache tuomboleze kwa...
6 Reactions
34 Replies
753 Views
Ligi ya NBC inaendelea leo ambapo Simba SC itapambana na Geita Gold kwenye uwanja wa Chamazi Complex. Simba inatafuta nafasi ya 2 huku Geita Gold ikijinusuru kushuka daraja. Mechi hii itapigwa...
3 Reactions
93 Replies
1K Views
Wewe ni bosi upo kampuni flani au kwenye taasisi ya serikali lakini unatumia mamlaka yako vibaya kwa kuwakandamiza na kuwanyanyasa walio chini yako na kuwadhulumu stahiki zao, nini faida ya yote...
1 Reactions
2 Replies
45 Views
Salaam wana JF, kifupi mimi niko nje ya nch napiga box lakin mipango yangu baada ya miaka 4 hiv nirudi nyumbani, hz kaz za viwanda kusimama 8hrs naona nikikomaa life iwe huku nitaumia cz life huku...
2 Reactions
23 Replies
125 Views

FORUM STATS

Threads
1,855,795
Posts
49,672,598
Back
Top Bottom