Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mhe David Kafulila Mkurugenzi Mkuu wa Ubia nchi PPP amewatoa hofu Watanzania kuwa Serikali yao ya awamu sita ina nia na dhamira njema dhidi yao. Katika kipindi Cha DK 45 Cha ITV Kafulila...
1 Reactions
4 Replies
5 Views
  • Poll
Wakuu katika tafiti zangu nimegundua hiki kitu!! Kina ukweli asilimia ngap? Twendeni kwa hoja
2 Reactions
3 Replies
40 Views
Katika kipindi chote tangu Tanzania ipate uhuru, hakuna kipindi ambacho raisi amekuwa akipromotiwa sana kama huyu mama. Licha ya kumpromote sana lakini wananchi wanaonesha bado hawamkubali. Sasa...
1 Reactions
17 Replies
91 Views
Shunie Extrovert Jimena FRANC THE GREAT The 13 Mnazareth Daudi Mchambuzi Dinazarde Carleen Wangari Maathai Mshana Jr
26 Reactions
6K Replies
130K Views
Bila shaka wengi wetu tunajua huyu mdada alifiwa na mume wake wa kwanza. Baadae akatokea ustaadhi mmoja hapa chuga akamsilimisha na kumfanya mkewe. Baada ya muda dogo akadoda wakachana akawa...
6 Reactions
95 Replies
969 Views
Kwa manufaa na heshima ya nchi ni vema TFF ikahakikisha Simba inaungana na Yanga kwenye Ligi ya Mabingwa. Nasema hivi kwasababu ndizo timu pekee zilizo serious na mpira wa miguu. Azam ni timu ya...
4 Reactions
30 Replies
452 Views
A
Mimi ni Mtanzania ninayeishi Marekani, kuna Mtanzania mwenzetu mbaye alikuja kama Mwanafunzi hapa, sijui vizuri kuhusu historia yake huko nyuma. Miaka kadhaa iliyopita alipata changamoto ya Afya...
66 Reactions
275 Replies
8K Views
Kama gym kwenywewe mazoezi ndo haya bakini na gym Zenu na mazoezi yenu.
4 Reactions
36 Replies
282 Views
Hivi kitaalamu ipo vipi kuhusu madalali kuchukua pesa ya mwezi mmoja ya kodi
0 Reactions
1 Replies
16 Views
Mwanaume upo kwenye mtoko na mwanamke wako, mwanamke wako kavaa nguo inaonesha hadi vitu vya sirini, mwanaume unakenua jino tu ukiwa umeshikamana na mwanamke wako hadharani. Mnapiga na picha na...
17 Reactions
165 Replies
3K Views

FORUM STATS

Threads
1,855,686
Posts
49,669,684
Back
Top Bottom