Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Tukiwa tunamalizia msimu huu, baadhi ya timu zimeshaanza kutoa jezi mpya kwa msimu ujao. Timu kubwa ya kwanza kuachia jezi zao ni Liverpool. Uzi huu utakuwa unakuletea jezi mpya kadri...
8 Reactions
58 Replies
2K Views
Kuna kasumba imejengeka ambayo inaweka classes za watu kulingana na Mkoa wanakotokea. Mathalani Mikoa ya Business Class (VVIP) ,Hawa Hujiona superclass na kwamba wanastahili attention Dar Arusha...
9 Reactions
94 Replies
981 Views
Ahsanteni https://youtu.be/v6Zw5duTJeA?si=ZCzpze04z1gcx-T-
1 Reactions
1 Replies
2 Views
Kwa mujibu wa imani ya kiislamu mtoto ambaye amezaliwa nje ya ndoa hatambuliki Kwa mujibu wa Sheria kama mtoto wa Baba husika. Kwasababu kizazi au uzao WA familia unatakiwa upatikane ndani ya...
16 Reactions
413 Replies
15K Views
16 Mei 2024 ASKOFU BAGONZA ATOBOA SIRI ''KUNA KUNDI LINATAMANI BAADHI YA VYAMA VIFUTWE''HUKO NYUMA HAKUENDEKI.. https://m.youtube.com/watch?v=NbSLsVnUDzo Askofu Dkt. Bagonza atoa hotuba ya karne...
0 Reactions
10 Replies
413 Views
Wasalaam wana jamvi, Kama kichwa cha huu uzi kinavyosema na nimeamua kuanzisha huu mkasa ambao ni wa kweli kabisa ulishawahi kunitokea kipindi cha nyuma miaka kadhaa iliyopita. Na huu mkasa...
14 Reactions
107 Replies
3K Views
Saa 10:00 jioni, Dodoma Jiji watakuwa nyumbani dimba la Jamhuri wakiwakaribisha Simba SC Ni mnyama ama walima zabibu nani kuondoka na alama tatu? Mchezo huu utaruka mbashara hapa JamiiForums...
1 Reactions
10 Replies
77 Views
Shunie Extrovert Jimena FRANC THE GREAT The 13 Mnazareth Daudi Mchambuzi Dinazarde Carleen Wangari Maathai Mshana Jr
25 Reactions
6K Replies
127K Views
Wakuu tunaomba kujua kama madaraja ya mserereko mwezi March na April yatekelezwa kwa waliokidhi vigezo.May mosi ibakaribia!
2 Reactions
10 Replies
550 Views
Mkurugenzi Mkuu wa PPP nchini Bw David Kafulila kupitia kipindi cha DK 45 kinachorushwa na runinga ya ITV ameeleza kuwa Mwekezaji aliyewekeza kwa Ubia na Serikali ya Paul Kagame ya Rwanda kwa...
6 Reactions
41 Replies
513 Views

FORUM STATS

Threads
1,854,599
Posts
49,635,779
Back
Top Bottom