Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza,Tumieni mchango wa kumnunulia Lisu Gari mpyaa Kali.
https://twitter.com/MwananchiNews/status/1791531809508888587?t=sUVf3wsCa_wqOva_9qLsbg&s=19
Angalizo...
Kwenye maisha kuna muda wanaume tunapendwa na wanawake tusio wapenda kwa mfano kwangu mimi niliwaigi kupendwa na mwanamke nisiye mpenda kiasi kwamba hadi aliniomba namba za simu ili tuwe...
Wapalestina wana cha kujifunza, siku hizi hamna cha undugu, dumisheni amani kwenu hapo hii sio miaka ile mlikua mnapata msaada kisa dini au undugu.
Hawa maskini wa Syria wanalazimika kurudi kwao...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Wakuu heshima yenu! Heading inajieleza, mimi ni kati ya wale watanzania waliobahatika kuishi mikoa mingi hapa nchini, kiukweli Nchi yetu kwa kiasi chake imebarikiwa kwa uzuri nimeishi Maeneo kama...
Aisee Hali kwa Vijana wa kiume inazidi kuwa Tete kufuatia Utafiti kuonesha kwamba matukio ya kujiua kwao yanazidi kuongezeka huku Hali hii ikihusishwa na msongo wa mawazo unaopelekea Magonjwa ya...
Wakili Msomi Boniface Anyisile Kajunjumele Mwabukusi leo amepewa,adhabu ya onyo iliyotolewa na kamati ya maadili na nidhamu
https://m.youtube.com/watch?v=gQKBmG0mSns
Wakili Boniface Mwabukusi...
Yele yanayo tokea Kilimanjaro Airport na kule Ngorongoro ni trela tu,full Move inakuja na kuna kulia na kuswaga meno mwaka 2026.
Kinacho ngojwa kwa sasa ni uchaguzi upite kwanza kabla ya move...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.