Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hivi mnawekaje Tanki la maji mbele ya jukwaa!? Hili Tanki linazuia watazamaji ikiwapendeza tafadhali lihamisheni hapo.
3 Reactions
3 Replies
29 Views
Habari za mwisho wa weekend wanajamii. Naamini kila kila mtu ana aina yake ya starehe,lakini hapa nimejikita zaidi kwenye starehe yenye kuhusisha Pombe. Je,kwa Mara ya kwanza ulivyotumia...
3 Reactions
6 Replies
77 Views
Naomba kuuliza app ikiwa ya bure inaingizizaje hela? Je mfano watu milioni 2 wame download app yangu na kuitumia..kila siku....naweza vuna kiasi gani?Kwa mwaka?...kutoka wwpi?
3 Reactions
19 Replies
304 Views
Amani ya Mwenyezi Mungu iwe juu ya kila asomae. Kuna mtihani mkubwa umewakumbuka wananchi wengi Leo unaosemekana kusababishwa na gari ya jeshi kuharibika na kipande cha barabara kufungwa kwa muda...
3 Reactions
31 Replies
933 Views
Rais wa WBC Mauricio Suleiman atoa pendekezo kuwe na V.A.R kwenye pambano la wababe kati ya Tyson Fury (Gypsy King) na Oleksandr Usyk (The cat). Mauricio hakuishia hapo apendekeza pia kuwe na...
7 Reactions
15 Replies
942 Views
Kwenye maisha kuna muda wanaume tunapendwa na wanawake tusio wapenda kwa mfano kwangu mimi niliwaigi kupendwa na mwanamke nisiye mpenda kiasi kwamba hadi aliniomba namba za simu ili tuwe...
5 Reactions
36 Replies
502 Views
Wakuu yametimia wameufuta tena uzi ule. Ni kwamba tuamini mwanzo wa mwisho wa uhuru wa habari hapa JF nimezidi kulia. Nguvu ya asali imeshinda tena
1 Reactions
8 Replies
41 Views
Tunaokwenda kupewa upako https://www.youtube.com/watch?v=DiY4brWlnrw
2 Reactions
15 Replies
243 Views
AMESEMA ALIYESEMA NITAWAFELISHA WANAFUNZI KWA HISTORIA ZANGU ZISIZO NA VYANZO VYA KUAMINIKA Lupweko said: Mzee utawafelisha watoto kwenye mitihani yao kwa historia zako ambazo hazina vyanzo vya...
0 Reactions
4 Replies
70 Views
Hii ni baada ya bunge kuwa la chama kimoja Bunge limepoteza mvuto kabisa Kwa wananchi kususa kufuatilia mambo ya bunge Nakumbuka kabla ya bunge Kuwa la chama kimoja Wakati huu wa bunge la bajeti...
5 Reactions
39 Replies
796 Views

FORUM STATS

Threads
1,854,690
Posts
49,638,419
Back
Top Bottom