Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

  • Suggestion
Niwasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!!...... Awali ya yote napenda kujadili maada hii kwa Maslahi mapana ya Taifa. 👉Kizazi cha sasa na kijacho nchini Tanzania kinahitaji uongozi...
0 Reactions
8 Replies
109 Views
Kwenye maisha kuna muda wanaume tunapendwa na wanawake tusio wapenda kwa mfano kwangu mimi niliwaigi kupendwa na mwanamke nisiye mpenda kiasi kwamba hadi aliniomba namba za simu ili tuwe...
6 Reactions
55 Replies
502 Views
Amani ya Mwenyezi Mungu iwe juu ya kila asomae. Kuna mtihani mkubwa umewakumbuka wananchi wengi Leo unaosemekana kusababishwa na gari ya jeshi kuharibika na kipande cha barabara kufungwa kwa muda...
3 Reactions
33 Replies
933 Views
Naushauri uongozi wa Azam kuitetea Brand yao. Hata kama kuna baadhi wana vinasaba na Kolo. Haiwezekani Klabu yenye rasilimali muhimu katika soka halafu inasuasua kama Mtibwa na Ihefu. Mechi 3...
5 Reactions
24 Replies
771 Views
Mtanzania Mansoor Daya amefariki dunia jijini Dar es Salaam. Daya alikuwa mtu wa kwanza nchini kufungua kiwanda cha madawa Tanzania na Afrika Mashariki mwaka 1962 akianza kwa kuziuzia nchi jirani...
13 Reactions
86 Replies
2K Views
Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza,Tumieni mchango wa kumnunulia Lisu Gari mpyaa Kali. https://twitter.com/MariaSTsehai/status/1791520201558647109?t=fhOZdGURQsOZ-LxB520LiA&s=19 Angalizo...
3 Reactions
39 Replies
255 Views
Humu kulikuwa na wimbo wa waamuzi kuwabeba timu fulani ili kubeba ubingwa, lakini waimba wimbo huo hawaonekani pale timu yao ya Simba ikibebwa na waamuzi na kupata matokeo. Leo Simba imepata...
3 Reactions
11 Replies
313 Views
Wakuu nimekuwa nikitafakari hii kauli nzito inayotamkwa kila mara na wafuasi wa chama kinachomilikiwa na Mbowe (CHADEMA) kuwa chama chao ni mpango wa Mungu, ila bado sijathibitisha. Hata viongozi...
2 Reactions
32 Replies
220 Views
Afisa mifugo wilayani Handeni mkoani Tanga (Jina lake bado halijafahamika) amefariki dunia baada ya kumgonga ndege aina ya Bundi na pikipiki aliyokuwa akiendesha yenye namba za usajili STM 0232 ...
2 Reactions
49 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,854,693
Posts
49,638,469
Back
Top Bottom