Habari za muda huu Wanajamvi,
Hii Kampuni ya TTCL ni sikio la kufa na wala halisikii dawa tena, haifanyi vizuri kwenye mawasiliano ya simu kawaida wala kwenye Internet. Mimi nipo Dar es Salaam na...
Nimetafakari sana nikajikuta nacheka tu bila sababu. Hivi huyu Leonardo ana huu uwezo mkubwa wa kudadavua hesabu za kuzidisha namna hii? Ama ni vile Clouds wameamua ku-create content kwa lengo la...
Kwa akili ya kawaida ili swala la kumchangia gari lissu ni wizi na ufisadi, kwa hali ya kawaida wanae mchangia ndiye anasema anataka kuondoa umasikini kwa watz ila bado anaomba msaada kwa masikini...
BINTI ALIYEDAI ANAISHI NA NYOKA AJISALIMISHA KWA WAZIRI DKT. GWAJIMA
Aomba radhi, adai hajawahi kufanya hivyo alidanganya.
DAR ES SALAAM.
Itakumbukwa hivi karibuni ilienea video mitandaoni...
Huduma za Internet kwa mitandao ya Tigo, Voda na Airtel kwa Tanzania ni mbovu mno.
Mtu unaweka bundle lakini mpaka inaisha unakuta hujatumia ipasavyo kutokana na kukatika katika kwa huduma...
Karibu kwenye ukulasa wa Dovillen Property.
Kwa mahitaji ya kuuza au kununua nyumba, viwanja,yard, maeneo ya kujenga petrol station nk
POSTA,UPANGA, MASAKI, MSASANI, MIKOCHENI, MBEZI BEACH...
Leo nilienda kujaza fomu pale TTCL-Tegeta kwa ajili ya huduma ya fiber nyumbani
Kwanza picha linaanza naambiwa utaratibu ni kujaza fomu kwanza halafu baadae mtu wa survey atakuja kungalia ndio...
Wakuu kwema,
Tunajua historia ya Tanzania, Mwalimu Nyerere aliwahi kuingia katika mgogoro au vita na iliyokuwa jumuiya ya Waislamu (East Afric Muslims Welfare Society) ambayo mgogoro huo...
Habar!
Mimi ni mkaazi wa Zanzibar (unguja) niliomba kuunganishiwa huduma ya internet kwa njia ya wire(fiber) katika ofisi za TTCL tokea mwaka jana 2023 , mara ya mwanzo kufika ofisini KIJANGWANI...
Tunapendelea kutafakari ajali ya adui wa Israel kuna mambo ya kutafakari bila kujali ni ajali ya kijiografia au jiografia inaweza kuwa mbeleko ya kutimizia malengo.
Waamaleki waliwahi kuwaambush...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.