Najua wengi itakua ngumu kunielewa huyu jamaa amewekwa pale Ili kuwapumbaza wanasimba na wanasimba bila kuwa na uelewa wanamuona kama ni Mtu wa maana sana hivi hamjiulizi Kila siku anaropoka...
Kila mtu hata kama ni jasiri kiasi gani lazima kuna kitu atakuwa anakiogopa tu. Hitler mwenyewe aliogopa mtihani. Katika mazingira yalituzunguka tunaishi na viumbe hai wengi yaani mimea na wanyama...
Labda Mimi elimu yangu ndogo, Mchina ana technology gani ya kumzidi USA🇺🇸
Nikiangalia wale mabwana kila sector wapo vizuri.
1) Upande wa ndege hawana mpinzani
2) Mambo ya space science ni hatari...
Habari zenu ndugu zangu?
Ninauza TV mbili za inch 32 Brand Hisense na PS3 moja.
TV moja ni 200,000 nakupa na Wall Bracket pamoja na HDMI Cable.
Ps3 nakuuzia kwa 250,000 ina magemu yote mazuri...
Ni hivi ndugu zangu nipo kuwakumbusha kuwa hakuna mwizi wa gari akaiba gari na kuliendesha kistaarabu kiasi kwamba hata ukija kulikuta utakuta kama ulivyo liacha.
Ni hi atakanyaga mafuta hadi...
wakuu habari za uzima?
Mimi na mke wangu niseme watu tunaopenda sana kusoma vitabu, sasahivi tuna mtoto mmoja handsome boy linanipa faraja sana na kunifanya niendelee kupambana.
Niseme katika...
Kiukweli akili za Chadema wanazijuaga wao wenyewe yaani ni Ndumilakuwili haswa
Wanasema Rais ni mzanzibar na kusahau wao walimkata Mtanganyika pale Kinondoni kwenye Uchaguzi mdogo na kulazimisha...
Hii 👇 ni tukio la Leo
📍Dar es Salaam
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamojana Balozi wa Tanzania nchini Comoro Mhe. SaidiYakubu...
Hakikisha katika kipato chako unachokipata usisahau kutoa sadaka
Usisahau kuwakumbuka watoto yatima
Usisahau kuwakumbuka wenye mahitaji maalumu
Usiwasahau wenye hali za chini
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.