Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wala sina mengi ila nimeshangazwa sana. - Ni vile tu siwezi sema shkamooi kwa hivi vibint ya 2000's, ila yamenitokea na yamenikuta - Ni leo leo wala sio juzi au jana nikiwa katika harakati zangu...
38 Reactions
259 Replies
5K Views
Tunaambiwa ni kosa mtu kuvaa magwanda yenye mfanano na yale ya majeshi yetu. Je, kitendo cha Makonda kuvaa kule Chuga lile jacket ni sahihi? Je, na mimi mwananchi wa kawaida nikipata kama lile...
7 Reactions
34 Replies
2K Views
Akizungumza katika mkutano wa Mkurugenzi wa Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu, Zuhura Yunus na Vyombo vya Habari leo tarehe 15 Novemba, 2023, kuhusu ziara za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
1 Reactions
40 Replies
4K Views
Shunie Extrovert Jimena FRANC THE GREAT The 13 Mnazareth Daudi Mchambuzi Dinazarde Carleen Wangari Maathai Mshana Jr
25 Reactions
6K Replies
126K Views
Waziri Nape anasema wanashauriana Serikalini ama kupunguza Kodi Kwenye Simu Janja au kuweka Kodi Kwenye Vitochi ( viswaswadu) Ili Watu wote waweze kumiliki Simu Janja Huko tunakoelekea teknolojia...
1 Reactions
4 Replies
41 Views
Depression inaniua taratibu, sasa siwez hata ongea nikisema neno nalia.
6 Reactions
28 Replies
377 Views
Mfano ni biashara ya mazao kuuza nje ya nchi. Biashara ya mahindi ni nzuri sana kama ukiuzia nje ya nchi, mfano kenya au sudan kusini, ikiwa uko mikoa ya arusha au manyara ni bora zaidi, ila...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Tukutane wote wenye virusi vya ukimwi na kuelezana ulijisikiaje ulipoambiwa kuwa una upungufu wa kinga mwilini? Mimi nakumbuka ilikuwa 2020, mwezi wa 7 tarehe 17 nilipima katika hospitali moja ya...
55 Reactions
301 Replies
7K Views
Mara kwa mara nimekuwa nikiona hili neno kuwa mnasema mara nyingi Uislam ni Dini ya haki na sometime mmekuwa mkiwaita Dini nyingine Makafiri, hayo maneno yamekuwa ukinitatiza sana Lakini mimi...
21 Reactions
155 Replies
4K Views
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Siku ya 4 Leo Wagombea wa nafasi ya Mwenyekiti Kanda bado ni Danadana Iko wapi Demokrasia?
0 Reactions
2 Replies
85 Views

FORUM STATS

Threads
1,853,974
Posts
49,619,036
Back
Top Bottom