Mfano ni biashara ya mazao kuuza nje ya nchi.
Biashara ya mahindi ni nzuri sana kama ukiuzia nje ya nchi, mfano kenya au sudan kusini, ikiwa uko mikoa ya arusha au manyara ni bora zaidi, ila...
Waziri wa Habari Mh Nape Nnauye amesema , Serikali inaangalia uwezekano wa kushawishi Makampuni yanayotengeza Simu , au mawakala wao ili wawe wanawakopesha simu wananchi na kuwakata fedha kidogo...
Tunaambiwa ni kosa mtu kuvaa magwanda yenye mfanano na yale ya majeshi yetu.
Je, kitendo cha Makonda kuvaa kule Chuga lile jacket ni sahihi? Je, na mimi mwananchi wa kawaida nikipata kama lile...
Waziri Nape anasema wanashauriana Serikalini ama kupunguza Kodi Kwenye Simu Janja au kuweka Kodi Kwenye Vitochi (viswaswadu) Ili Watu wote waweze kumiliki Simu Janja
Huko tunakoelekea teknolojia...
1. Ameona na kusoma messages zako ila hajajibu na yupo online (Bluetick)
2. Unamuona online ila hawezi hata kukutext, yaani mpaka wewe mwenyewe uanze kumtext
3. Mlipokuwa mnaongea kwenye simu...
Mchina ana kazi nzito haswa dhidi ya marekani.
Hapa ni Biden amepitisha furushi hili.
I just imposed a series of tariffs on goods made in China:
25% on steel and aluminum,
50% on...
Wasalaam wana jamvi,
Kama kichwa cha huu uzi kinavyosema na nimeamua kuanzisha huu mkasa ambao ni wa kweli kabisa ulishawahi kunitokea kipindi cha nyuma miaka kadhaa iliyopita. Na huu mkasa...
Aiseeeee habari za leo wazee.........
Huyu jirani yangu ana watoto wawili mmoja yuko darasa la tano mwingine yuko darasa la pili, ni mdada wa makamo shughuli yake kuu ni kupika vitafunwa asubuhi...
Salaam Wakuu,
Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi.
Tuzujane hapa kianachojiri..
Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.