Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Katika soka neno tapeli sio tusi, bali hutumika kumbainisha mtu anaejipatia sifa na umaarufu chanya pasipo juhudi na uwezo wake binafsi kama ilivyo kwa kocha juma mgunda gadiola mnene. Kibonge...
0 Reactions
3 Replies
33 Views
Striker gan wewe mjinga mjinga, striker unapewa pasi funga unapeleka nje, magolo 2 clear kabisa anakosa mjinga huyu, ameniudhi sana leo
1 Reactions
10 Replies
184 Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
42 Reactions
51K Replies
3M Views
Vipi Team turudiane tuanze kurudiana? 😂😂 Mnamfunga Azam mnaanza kusema mrudiane na Yanga. Mliwaza kuomba kurudiana na Yanga kila kona mnapiga pambio leo kimewalamba😂 Nawaza sana nilisema kwa...
2 Reactions
5 Replies
72 Views
Hii tImu Nilianza Kuipenda mwaka 1998 nikiwa Shule ya vidudu,Bi mkubwa alinunua Jezi number 7 mgongoni Imeandikwa Cantona,Kaka zangu wakawa wananipa story za Cantona,Tangu hapo nikawa mpenzi wa...
0 Reactions
2 Replies
17 Views
Wakuu kama thread inavojieleza either kulingana na uzoefu wako au umeskia ndugu jamaa wanasema tupate, mkombozi wa mapishi kwa umeme. Induction cooker Multi Cooker
3 Reactions
56 Replies
2K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
516K Replies
29M Views
Uongozi wa Simba SC tafadhali mpeni mazima Timu Kocha Mgunda na Mshahara mnono atatufikisha mbali sana Ok?
5 Reactions
38 Replies
2K Views
Niliposoma Vitabu Kadhaa Vinavyoelezea MAPEPO (Demons) Kikiwemo Kile Cha Dag Hewald Mills Kinachoitwa "Demons And How To Deal With Them" Nilijifunza Kuwa Kumbe Mapepo Yamegawanyika Kulingana na...
8 Reactions
41 Replies
1K Views
Inakwaza na kufedhesha sana kwasasa kuona kuna ongezeko kubwa la watoto ambao hawajulikani baba zao ni akina nani na hata kama baba wanajulikana basi hawapo katika maisha ya mtoto. Big up kwa...
47 Reactions
277 Replies
3K Views

FORUM STATS

Threads
1,853,372
Posts
49,602,355
Back
Top Bottom