Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Naombeni majibu wandewa. Kuna mmoja aliniambia wanafanya hivyo kwasababu ma boss wao huwa wanawasumbua. Je, kuna ukweli kwenye hili?
0 Reactions
6 Replies
101 Views
Nataka nidownload nizijazs kwenye flash niwe nazigonga asubuhi na jioni wkt nafanya hom workout Msaada tafadhali waungwana!!
1 Reactions
2 Replies
3 Views
Mimi ni mgeni jiji la Mwanza week hii naenda huko ntakaa mwezi mzima.30 days. Naombeni mnisaidie wapi nitapata Lodge au Hotel nzuri sehemu tulivu ambapo pia si mbali na Mjini. Cost iwe tsh...
1 Reactions
26 Replies
669 Views
IBILISI RUDISHA FAHAMU ZETU(MIMI NA MKE WANGU). BY ISSAI SINGANO . (Singano jr). DIBAJI Saa saba mchana Frida alionekana akiingiza gari ndani ya hospitali na taasisi ya kitafiti ya Neuroscience...
2 Reactions
193 Replies
44K Views
Wakuu hili liko wazi, Mabwanyenye wengi ndicho kiwango wanacholipa baada ya kuwahenyea . Hivi kwa hiki kiwango unatoboa vp, japo inawezekana ukipata ufahamu! Njooni, wataalamu wa bajeti
4 Reactions
53 Replies
785 Views
House girl mwenyewe Bonge la pisi kali
15 Reactions
43 Replies
2K Views
Mwanaume ameaminiwa na Mungu na kuwekwa kuwa kichwa cha familia. Kichwa ndio Injini ndio ubongo wa familia. Kwa mtazamo huu Rasilimali na vipato vyote vya familia vinapaswa kuwasilishwa kwa kichwa...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
==Makala hii kwa njia ya video imeletwa kwenu kwa hisani ya SK Media Online TV na Ansbert Ngurumo== Jaji Joseph Sinde Warioba (CCM): Wakati wote msimamo wake uko very consistent kuhusu muungano...
2 Reactions
13 Replies
702 Views
jana nimeenda kufanya interview ya MDA leo nimekuta wamenichagua niende next step yani oral, nilikuwa nauliza kama oral pia inafanywa online??
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Kwa mawazo yangu kati ya walimu wakuu ambao wanahitaji nishani za kitaifa ni Mwalimu mkuu wa zamani wa Ilboru. Huyu ndiyo alifanya Ilboru kuwa shule ambayo kwa miaka yote ni ya kipekee kwa kutoa...
2 Reactions
17 Replies
539 Views

FORUM STATS

Threads
1,853,453
Posts
49,604,627
Back
Top Bottom