Hii sio siri bali ni kitu iliyo wazi kabisa.
Wanaume wasiotumia akili katika kumpenda mwanamke, ndio hao wanao lia lia kutwa nzima kwa uchungu na kuwalaani wanawake baada ya kupigwa za uso...
Alichaguliwa kuwa Rais wa Marekani mwaka 2016, na kuingia Ikulu 20/01/2017 baada ya kula kiapo.
Katika kipindi cha uongozi wake, alifanya mengi, yakiwemo yaliyowafurahisha na yaliyowakwaza...
Hizi kauli za KIPUMBAVU kabisa. Unawezaje kutoa hoja ya kuharibu Nchi kisa uendelee kuwa CCM na kulipa ADA!!! ? Wasio CCM watoto wao hawasomi ? Huu ni ujinga, ni kama uwe mahabusu halafu mkeo...
Mkuu wa Pentagon Lloyd Austin anaamini kwamba ikiwa Ukraine itapoteza vita kamili na Urusi, nchi hiyo ya pili italazimika kupigana na Muungano mzima wa Atlantiki ya Kaskazini maarufu kama (NATO)...
Waziri mkuu wa falme za kiarabu,Abdullah bin Zayed amemshushua waziri mkuu wa Israel,Benjamin Netanyahu kwa kauli yake aliyoitoa hivi karibu kwamba nchi ya UAE, Saudi Arabia na mataifa mengine ya...
1. Songas kampuni binafsi iliyoingia mkataba wa kuzalisha umeme na kuiuzia TANESCO mwaka 2004 kwa kutumia mitambo ya gesi. Songas iko Ubungo mataa kama unaatokea Mwenge kwenda Riverside ama...
Habari, nasumbuliwa sana na mingurumo kwenye tumbo na tumbo linaniuma sana, nimetumia dawa nyingi hospital lkn bado, naombeni ushauri ni dawa gani mzr itanisaidiaa ndg zangu
Kama ilivyokuwa kwa Nguza Samike katibu binafsi wa Rais Magufuli na sasa tuna Waziri Rajab Salum katibu binafsi wa Rais Samia.
Huyu ndiye mtendaji wa shughuli zote binafsi za Rais Samia katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.