Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Tangu kuteuliwa kwa rc makonda arusha,leema ni kama amepotea,watu wapo bize na makonda in short kama hali itaendelea hivi hivi A town leema ana kaz sana.utendaj kaz wa Rc unawakosha watu na kuona...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Nchi imegeuka kuwa kituko😳
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Mnakimbia mataifa yenu, mnagoma kukimbilia mataifa ya waislamu na kuchagua kwenda bara Uropa kule ambako mnazaliana, ila mnataka hao huko Uropa wabadilishe mila na desturi zao ziendane na...
4 Reactions
33 Replies
417 Views
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya. Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
112 Reactions
382K Replies
11M Views
Nimekuwa nikijiuliza mda mrefu sana kuhusu hilo tisho eti mke wa mtu ni sumu. Ajabu, mbona mme wa Hugo mke hafi!?
2 Reactions
9 Replies
140 Views
Habari za asubuhi ndugu zangu wa JF. Kwa miaka kadhaa nilikula msoto sana wa kimaisha kiasi cha kukosa hata pesa ya nyanya geto.Sometimes chai ya asubuhi ilinishinda,lunch ilikuwa inapiga chenga...
2 Reactions
18 Replies
156 Views
Ungekuwa kwenye situation ya wabunge 19 waliofukuzwa CDM lakini bado wapo bungeni kwa hisani ya "mahakama." Ungefanyaje kuelekea uchaguzi wa 2025? Ungerudi CDM, ungeenda CCM au chama kingine? Kila...
4 Reactions
24 Replies
495 Views
Tupo Kariakoo unaletewa bidhaa ndo unalipa kwa aliyeko Dar-es-Salaam punguzo lipo. 0713520180
2 Reactions
192 Replies
6K Views
Habarini wakuu! Hivi nawezaje kuhakiki uhalali/umiliki wa ardhi (Surveyed plot yenye registration plan number) pasipo kufika kwenye ofisi husika? Na ni ofisi gani natakiwa kuanza nayo; Manispaa au...
1 Reactions
6 Replies
19 Views
Heshima kwenu wakuu, Mimi kijana mwenye umri wa miaka 24, ni fundi simu mzoefu kwa zaidi ya miaka miwili, nina uwezo mzuri wa kutengeneza simu aina zote kwa software na hardware. Nahitaji mtu...
25 Reactions
76 Replies
4K Views

FORUM STATS

Threads
1,853,116
Posts
49,590,394
Back
Top Bottom