Nina kijana wa miaka 17.
Wa kiume ni mpole na mkimya lakini hayuko smart.Tofauti na ilivo kwa watu wengi wa kimya kwa kua na akili nyingi kwa kijana wangu ni tofauti ni mkimya ila sasa akija...
Inakwaza na kufedhesha sana kwasasa kuona kuna ongezeko kubwa la watoto ambao hawajulikani baba zao ni akina nani na hata kama baba wanajulikana basi hawapo katika maisha ya mtoto.
Big up kwa...
Ndugu zetu wahaya wamebarikiwa kuwa na akili Sana. wapo na IQ kubwa.
Na wengi wanajua wanataka nini katika MAISHA.
Hongereni Sana
Sijui tungekuwa wapi bila wahaya, hongera Sana Max na...
KC Mstaafu wa ACT Wazalendo amesema Watanganyika hawatoki wapate Serikali ya Tanganyika eti kwa sababu Zanzibar Wana Serikali, au kwa sababu hatuwapendi Wazanzibar La hasha tunataka Serikali ya...
Isa wikendi, yeesi iliiiiziiii.
Hii saikolojia iliyothibitishwa.
Kitu chochote ukishakijua sana huendelei kukidadisi, unakuwa unajua ukianza hivi kitatokea hivi ama vile.
Hata kwa wapenzi ni...
Historia mwalimu mzuri, baada ya Lissu kushambuliwa kwa risasi, kiongozi mkuu wa kitaifa aliyeenda kumpa pole ni mzanzibari, leo anatembea huku na kule akimtukana.
Tundu Lissu alimkimbia...
Mimi kuna siku niko na Pikipiki nimetoka site huko Nyengedi napanda Milima ya Rondo mida ya saa 2 usiku aisee Mara simba huyu hapa nilianguka na Pikipiki nikainyanyua sikugeuka nyuma nilipofika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.