Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ile kauli mbiu ya kazi iendelee iko wapi! Daraja linafungwa zaidi ya saa kwa mambo ya chama watu wanachelewa makazini! Hivi tupo serious kweli hii nchi? Wamekosa maeneo mengine ya kuwangia hadi...
4 Reactions
22 Replies
371 Views
Habari za Leo wakuu Nimerealize presha YA kupanda is the worst Kuliko ya kushuka ...no siku YA 4 Leo napambana presha haijakaa Sawa nilipima ilikua 140 Kwa 89 Kuna Dawa nlipewa inaitwa amlodipine...
0 Reactions
4 Replies
7 Views
Wakuu hili liko wazi, Mabwanyenye wengi ndicho kiwango wanacholipa baada ya kuwahenyea . Hivi kwa hiki kiwango unatoboa vp, japo inawezekana ukipata ufahamu! Njooni, wataalamu wa bajeti
2 Reactions
30 Replies
153 Views
Imagine kwa muda wa karibia 2 hours sasa tuko kwenye foleni kupisha Mwenge. In this Millennium tunapotezeana muda kiasi hichi kisa Mwenge! Disappointment ya hali ya juu. Wakazi wa Kigamboni...
15 Reactions
65 Replies
824 Views
Wadau hamjamboni nyote? Mimi bado naamini timu ya simba itachukua ubingwa wa ligi kuu ya NBC Tanzania Najua wengi hamuamini lakini kumbukeni kuwa imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo...
6 Reactions
21 Replies
260 Views
Shalom, Sina mengi zaidi kichwa Cha habari kinajieleza, mamlaka husika ikiwemo wizara yenye dhamana ipate kulitizama hili swala. Vilaza wengi wanaodanga na machangu, waliofeli kwenye Ndoa...
1 Reactions
7 Replies
47 Views
Iko hivi. Huyu jamaa alikuwa mchizi wangu tokea utoto (maana tulicheza wote mpira na gololi mitaa fulani ya Gachustan/Arusha). Kipindi tumeanza kwenda shule za boarding (baada ya la saba) ndio...
10 Reactions
96 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,852,924
Posts
49,583,690
Back
Top Bottom