Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wakuu habari za wakati huu. Niwe wazi tu tangu nimemaliza chuo, maisha kwangu yamekuwa magumu, michongo niliyopata ilihitaji niwe na cheti bahati mbaya nina vimeo so hadi niviclear...
0 Reactions
3 Replies
46 Views
NAUZA PLOT, KIBAHA MADAFU/ZEGELENI. KM 5 KUTOKA BARABARA YA MOROGORO ROAD. Huduma za jamii zimefika... Maji,umeme, hospital, Total area ni 1400sq meters. Ina hati miliki Vimepakana na Kiwanda...
0 Reactions
3 Replies
60 Views
Habari Wana JF, Samahani nilikua naomba msaada jinsi ya kutangaza biashara mtandaonii kwa kutumia zile sponser au Kama Kuna njia nyingine yoyote ilimradi iwafikie watu wengi mtandaoni. Ahsanteni 🙏
1 Reactions
13 Replies
163 Views
Kila dini ina maelekezo yake juu ya tendo la ndoa,miongoni mwa wanandoa, kila kabila lina utamaduni wake kuhusu tendo la ndoa. Jambo la muhimu sana kwa wanandoa, ni kwamba wanafunga ndoa ili...
6 Reactions
16 Replies
1K Views
Inakuwaje Wanajamvi! Influencer/Mhamasishaji na mchekeshaji maarufu nchini Mwijaku amefanya jambo ambalo siyo sahihi na kinyume na maadili kwa kumshikashika miguu inayovutia na inayotamanisha...
2 Reactions
19 Replies
183 Views
Wakuu nimekua nikitamani kufanya cartoon na 2d animation tangu niko shule. Hivyo imepita miaka mingi bila kutimiza ndoto kutokana na kutokuwa na resource mbalimbali. Sasa mwaka fulani hivi...
4 Reactions
25 Replies
181 Views
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amelieleza Bunge kuwa anapowatazama wake zake roho yake inapata furaha ya kipekee jambo linalosababisha kufanya kazi zake kwa kujituma na kujitoa. Kauli hiyo ameitoa...
7 Reactions
29 Replies
1K Views
Maustaadh/Masheikh Wengi Wakihubiri Wanahubiri Kwa Tone Ya Juu Sana (Wanafoka) Wachungaji Wengi Wakihubiri Wanahubiri Kwa Tone Ya Juu (Wanafoka) Mapadre/Maaskofu (Catholic) Wengi Wakihubiri...
5 Reactions
23 Replies
418 Views
Wanajukwaa! Je, umewahi kukutana na MAJINI au JINI? Je ulifanyaje? Je mlikua marafiki, au walikutisha na kukuogopesha, je mliishi pamoja? Je umeshawahi kuzungumza nao? Basi kama ndio karibu...
5 Reactions
26 Replies
336 Views
Katika hali ilozoeleka kusia kutoka kwa mabinti ama madada zetu pale tunapowachumbia ni ile wao wanaposisitiza kushiriki tendo la ndoa pale tu ndoa itakapokuwa imefungwa. Ndoa haijafungwa no sex...
0 Reactions
11 Replies
5K Views

FORUM STATS

Threads
1,853,081
Posts
49,589,415
Back
Top Bottom