Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Mimi ni Mtanzania ninayeishi Marekani, kuna Mtanzania mwenzetu mbaye alikuja kama Mwanafunzi hapa, sijui vizuri kuhusu historia yake huko nyuma.
Miaka kadhaa iliyopita alipata changamoto ya Afya...
BINTI ALIYEDAI ANAISHI NA NYOKA AJISALIMISHA KWA WAZIRI DKT. GWAJIMA
Aomba radhi, adai hajawahi kufanya hivyo alidanganya.
DAR ES SALAAM.
Itakumbukwa hivi karibuni ilienea video mitandaoni...
Salaam, Shalom!
Itakumbukwa, ndugu yetu Askofu Gwajima, alipinga majaribio ya Chanjo za Uviko 19 Kwa nguvu kubwa huku akijenga hoja imara mbalimbali kuwa, Chanjo hizi zinazoletwa Kwa Watanzania...
Inasikitisha sana.
Vitabu vya dini havina Kodi, kama vina Kodi basi ni kidogo sana.
Pombe zinaingizia Serikali faida kubwa kupitia Kodi. Hivyo walevi ndio wajenga nchi yetu.
Barabara zetu...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nimeishi na mke wangu zaidi ya miaka 30, lakini nilihisi ana bwana wa pembeni, nikaanza kufanya uchunguzi, kweli nikafuma baadhi ya msg , ambaxo kwa tabia...
Nataka kujua hawa dada zetu waliokeketwa wakiwa wadogo hawajitambui kipindi hicho je wanakabilianaje na suala la kuridhishwa kimapenzi.
Maana huwa nasikia ni wagumu sana kukojozwa kabisa sasa je...
1. Wasomi wengi tuna Dharau kwa wale Wasiosoma
2. Wasomi wengi ni Wabaguzi hasa kwa wale Wasiosoma
3. Wasomi wengi tunadhani Kusoma sana ndiyo kuyapatia Maisha
4. Wasomi wengi tunaishi Maisha...
Mama Samia achana na cheap popularity haitakusaidia lolote unatakiwa usiwe muongeaji sana maana naona unaanza kutoboa matundu ya hela wakati huo ukiwa umewekwa kwenye mtego mgumu na mzito sana wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.