Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Him ni kutokana FIFA kuwazuia kusajili kutoka na kutofuata taratibu za mifumo ya usajili. Hivyo TFF fuateni taratibu za mpira, msifichefiche
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Kwa kweli mzee wa watu anatia huruma hana wa kumsemea ameamua kunyamaza, ila nadhani akifungua mdomo Tina atatafuta pa kujificha. Tina kila siku ni kumchamba mzee wa watu, yaani ukae kwenye ndoa...
42 Reactions
244 Replies
5K Views
"Leo tuna miaka 60 tukiitwa Tanzania, ndiyo maana tuna rais ambaye ni mzanzibari, siyo mtanganyika. Anaweza kwenda ngorongoro akatoa amri kwa wanajeshi hawa, akasema fukuza wamasai wote ngorongoro...
6 Reactions
38 Replies
692 Views
Hichi kisa nimekikumbuka kilinitokea miaka mingi nyuma kama 7 ++ so sio currently event Nilikua na Demu wangu mmoja hivi sasa kila nikikutana nae naishia Goal Moja tuu yaani siendelei tena...
3 Reactions
5 Replies
16 Views
Wanawake wa JF, Husika na mada tajwa hapo juu. Waziri Mkuu anahitajika kwa minajili ya kuisimamia serikali ili kuleta amani, upendo, furaha na maendeleo ndani ya familia ambayo Mungu atatujalia...
6 Reactions
28 Replies
746 Views
Siku moja baada ya kifo cha mfanyabiashara wa madini, Marwa Masese (45) na mwanaye, John Marwa (28), dada wa marehemu, Grace Marwa amesimulia mkasa huo akidai kuwa mdogo wake alisaini mkataba wa...
29 Reactions
294 Replies
34K Views
Ndugu zangu Watanzania, Sina maneno mengi zaidi ya inavyosomeka hapo juu. Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania...
3 Reactions
14 Replies
119 Views
Dhambi kubwa aliyofanya Nyererew ni kuiacha katiba ambayo mwenyewe kwa kinywa chake alisema katiba hii akiipata dictator, ataumiza sana watu/ WATANZANIA/WATANGANYIKA. Kwa vile ilikuwa inampa...
3 Reactions
22 Replies
134 Views

FORUM STATS

Threads
1,849,796
Posts
49,528,028
Members
667,233
Latest member
kagoma jr
Back
Top Bottom