Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wanaume wengi na vijana wengi wa humu hawana pesa ndefu wala michongo ya kueleweka kama wanawake ndo maana wanaume wa humu wamejaa makasiriko. Kila uzi wanawake, mara singo mom jamani tafuteni...
8 Reactions
52 Replies
231 Views
Anaitwa Dharmendra Mzimba. Huyu lazima kazaliwa miaka ya 90 mwanzoni na baba ake alikuwa ana angalia sana picha za kihindi. Kanikumbusha Niliwahi kusoma na jamaa yeye baba ake alikuwa anawaita...
3 Reactions
5 Replies
142 Views
  • Suggestion
INTRODUCTION. NB: picture courtesy of the internet. (Christian and Muslim religious leaders greeting each other is a great solidar ity) 👉In envisioning the Tanzania we want, fostering a...
3 Reactions
1 Replies
47 Views
Maria Sarungi ni mtu hatari sana kwa usalama wa Taifa, dada huyu ambaye hana mtoto hadi leo baba yake amelitumikia Taifa kwa nguvu zote na hata serikali inamheshimu Prof Sarungi. Maria mamake ni...
3 Reactions
156 Replies
4K Views
Wakati nipo Ocean Road nikiwa TZ , nimefanya kazi na products mbalimbali kutoka vyuo tofauti, wapo wanafunzi kama intern wakiwa madaktari ambao we were training them, wengine wafamasia au nurses...
19 Reactions
121 Replies
2K Views
Balozi wa USA Tanzania bwana Battle amemimina sifa kemkem Kwa Rais Samia Kwa jinsi ameimarisha Demokrasia na uhuru wa kujieleza Aliyoleta mifano jinsi Vyama vya Upinzani hasa Chadema vilivyo huru...
4 Reactions
33 Replies
494 Views
Hii ndio Habari mpya inayozunguka mitandaoni kwa sasa, kwamba yule Nesi Mwamba aliyehakikisha Lissu anaendelea kupumua amekutana na Tundu Lissu Jijini Dodoma. Pamoja na mengi yaliyozungumzwa kati...
48 Reactions
311 Replies
9K Views
Kamanda ambaye hakuna Mechi ya NBC Premier League iwe Kwa Mkapa au Chamazi anakosa sasa huo Utendaji wake hadi kufikia nae kupewa hiyo Nishani jana na IGP Wambura ni upi? Kama kuna Makamanda ambao...
0 Reactions
19 Replies
236 Views
Nilishawahi kuletaga thread ya mimi kuwa na hisia zinazonichanganya na wakati mwingine nazitumia kutabiri matokeo ya jambo fulani. Kama mwezi mmoja kabla ya tukio la October 7 mdogo wangu wa...
1 Reactions
5 Replies
102 Views

FORUM STATS

Threads
1,855,138
Posts
49,651,722
Back
Top Bottom