Wakuu
Nina hili tatizo muda mrefu…. hata nijiloweke kwene jiki bado ngoma iko pale pale.
Nashukuru mungu ni mwanaume ningekua demu nadhan ningeteseka.
vitu ninavoogea
1.Deto ya maji
2.Sabuni ya...
Taarifa ikufikie Popote ulipo kwamba Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu leo 17/05/2024 amekabidhiwa lile gari lake alilokuwemo siku mawakala wa Shetani walipoamua kumuua baada ya kushindwa...
Saa 10:00 jioni, Dodoma Jiji watakuwa nyumbani dimba la Jamhuri wakiwakaribisha Simba SC
Ni mnyama ama walima zabibu nani kuondoka na alama tatu?
Mchezo huu utaruka mbashara hapa JamiiForums...
Juzi niliweka post nikimuelezea kwa ufupi Mtakatifu Maria Theresa. wa CALCUTTA .....maoni mengi niliyoyasoma yalikuwa yakisema ILI UWE MTAKATIFU au UPATE CHEO KIKUBWA KATIKA KANISA KATOLIKI BASI...
Daaaaahh, so sad !
Mtu unamnyima mshahara kwa miezi 2 ili afe njaa?
Ili afedheheke katika jamii?
Nakiri kuwa kwa upande wangu nilitimiza majukumu yangu ya kila siku na kutokumalizia kipengele...
Kwenye maisha kuna muda wanaume tunapendwa na wanawake tusio wapenda kwa mfano kwangu mimi niliwaigi kupendwa na mwanamke nisiye mpenda kiasi kwamba hadi aliniomba namba za simu ili tuwe...
Kuna malalamiko hasa upande wetu sisi wanaume juu ya tabia moja ya kuomba hela inayofanywa na wanawake. Tabia hii imepewa jina "Kuomba hela" sababu ndicho kitendo kikuu hapo hakuna jambo lingine...
Mbunge wa Singida Mashariki bwana Elibariki Kingu ameoneshwa kusikitika na Watanzania kutolipa Kodi kama inavyotakiwa wakati huo huo wanadai Maendeleo na kutoa lawama sana.
Amesema Chi zote Zenye...
Mara nyingi tunajiona tuko salama, tunafikiri mabadiliko, kanuni, sheria za kigandamizi zinazofanywa na watawala hazituhusu sisi hasa hawa watumishi wa uma; watu wa magereza, wanajeshi, maaskari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.