Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kwa mujibu wa Mtaalam wa Afya ( Daktari ) na Mwanasaikolojia aliyekuwa akizungumza Channel Ten ( ipo YouTube ) kwa wala Matomaso ( Wasiotaka ) Kuamini wakajiridhishe ni kwamba amesema kuwa Dunia...
2 Reactions
5 Replies
45 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
927 Reactions
1M Replies
40M Views
Ipo hivi uyu ni Dada kabisa,anamfalakano kwenye ndoa yake. Yeye alianza na uyu mwanaume toka shuleni,toka wanasoma mpaka sasa, na wamebalikiwa kupata watoto, wawili na uyo mwanamme,yeye ni...
0 Reactions
5 Replies
28 Views
Alphard for sale year 2004, cc 2360,2AZ engine, petrol, 68,000 km,black color, Double sunroof, clean condition and automatic 076442372
0 Reactions
5 Replies
161 Views
Hapo zamani nchini Kongo kulikua na jamii iliyoamini kwamba wanawake wenye vichwa virefu Wanavutia (WAZURI) zaidi na wanaume wenye vichwa virefu wanakua na NGUVU zaidi na AKILI sana. Hivyo basi...
0 Reactions
4 Replies
61 Views
Jaman mimi ni muajiriwa nafasi fulani ya juu kidogo hapa nchini. Nimeweza kupata mil 70 ambayo ni matokeo ya SAVING ya muda mrefu na hela zangu fulani nilikuwa nazidai kulipwa. Mpango nilionao ni...
1 Reactions
13 Replies
105 Views
Dada anafunguka vibaya huko clouds FM kuhusu mambo ya cdm. Anamuanika Mbowe hadharani.
16 Reactions
248 Replies
8K Views
“Tumepokea ugeni mzito kutoka moja ya Klabu kubwa Barani Afrika, TP Mazembe ya DR Congo ambao wamevutiwa na namna Klabu yetu ya Yanga inavyoendeshwa hivyo wamekuja hapa Tanzania kujifunza mambo...
18 Reactions
162 Replies
3K Views
Wakuu Heshima mbele! Jana nilipokuwa natazama vikao vya bunge vinavyoendelea Dodoma. Mbunge msambantavangu alikuwa akizungumza kuhusu ukatili wa kijinsia, anasema imekuwa ni kawaida kuripoti...
6 Reactions
14 Replies
240 Views
My Take Naunga mkono Mtaka Kwa kuwashangaa hao wavivu na walaghai na ndio wanaolalamikiwa Kwa kutoa Huduma mbovu huko maofisini...
2 Reactions
27 Replies
330 Views

FORUM STATS

Threads
1,854,798
Posts
49,641,313
Back
Top Bottom