They say 'life begins at forty!'
Sasa kama wewe umeshafikisha miaka 40 au umebakiza siku au miezi kadhaa, hebu tujuzane ni nini umejifunza? Ni mangapi umefanikisha? Changamoto ni zipi za kusaidia...
Hii imemtokea rafiki yangu mmoja alianzisha mahusiano na kijana mmoja baada ya kama miezi miwili kupita huyo kijana akaanza kuwa anamuomba huyo dada pesa na kumueleza shida zake mbalimbali ili...
Bodi la Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) wameamua kupeleka makombe mawili yanayofanana katika viwanja viwili vya Emirates ambapo utapigwa mchezo wa Arsenal Vs Everton.
Kombe la pili litapelekwa kule...
Ndugu zangu Watanzania,
Nimeendelea kuisikiliza video ya muuguzi aliyedai kuwa ni miongoni mwa wauguzi waliompokea Lissu hospitalini siku alipokimbiziwa hapo baada ya kushambuliwa kwa Risasi na...
Kuna habari nimeiona mtandaoni,nimeona niilete jukwaani.
Shirika la fedha la IMF ,litaikabidhi Tanzania mkopo wa dollar millioni 150 ili kuweza kukabiliana na kushuka kwa thamani ya shilingi...
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
DK. MWINYI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameongoza kikao Maalum cha Kamati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.