Habari zenu kwa ujumla
Nimekuwa nikiota ndoto zinazofanana fanana.
Iko hivi mimi naishi Dodoma, ila ni mwenyeji wa Lindi. Nimezaliwa huko na kusoma huko mpaka secondary. Chuo nikatoka kwenda...
Nasemajeeee?
Huu ni ukweli ambao wengi wetu kwa kujua ama kutojua hatuusemi.
Ukiacha mila za jando na unyago, hizi kitchen parts zimethibitika kukosa msaada wa kutosha kuimarisha ndoa.
Tumeiga...
CHADEMA WAMKALIA KOONI LISSU NI MNAFIKI AOMBE RADHI - ASIJITOE AKILI
Kamati kuu CHADEMA imemuhoji Makamu Mwenyekiti na mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho, Tundu Lissu kwa kuudanganya Umma kuwa...
Salary 1.5 m net
Familia mme, mke, mtoto mmoja, mfanyakazi mmoja na ndugu mmoja.
Nyumba ya kupanga kodi laki kwa mwezi.
Mtoto anasoma english medium ada laki 8 na 50 kwa mwaka
Malipo awamu tatu...
Kuna mtu anaitwa Eldadi, mwingine ni Elia kumenya na mch. Flora! Je, ni nguvu gani wanatumia kutabiria watu vifo? Kurogwa na mambo mengine kama hayo.
Kwa anayewafahamu anisaidie
Salaam, Shalom!!
Nimesoma Uzi ulioletwa na Roving Journalist unaohusu jibu la TUNDU Lisu kukanusha tuhuma dhidi yake zilizoibuliwa na mwana JF.
Nimelazimika kuuliza swali Hilo hapo juu baada ya...
Kuna movie niliangalia miaka mingi kidogo kama 25 iliyopita kuna kijana alimchumbia mwanamke aliyekuwa na uhusiano na baba yake nafikiri yule mchumba wake alikuwa anafanya kazi ofisi ambayo baba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.