Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

HOTUBA YA MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI KATIKA WIZARA YA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA WAZEE NA WATOTO, MHESHIMIWA CECILIA DANIEL PARESSO (MB), KUHUSU UTEKELEZAJI WA MPANGO WA...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Taarifa yao iliyosambazwa na Mkurugenzi wa Itifaki, John Mrema hii hapa.
5 Reactions
46 Replies
952 Views
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
267 Reactions
164K Replies
5M Views
Wanafunzi wanaolipwa Tshs 10,000 za wavuja jasho na damu wanaosoma chuo cha TIA[Uhasibu]- Temeke, Dar es Salaam wamemtembelea Jokate Mwangelo ambaye ni mama mwenye mtoto mmoja ofisi za UVCCM...
7 Reactions
46 Replies
601 Views
Rais Samia amesharidhia Dr Faustine Ndugulile kwenda kuihudumia Dunia kama atateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Afrika Endapo atateuliwa kuitumikia Dunia basi Ubunge wa...
5 Reactions
41 Replies
1K Views
Nje ya Siasa makamu Mwenyekiti wa Chadema, mh Tundu Antipas Lissu anaelewa Wazi kama kweli DP World wameuziwa Bandari basi Muuzaji ni Wabunge zaidi ya 300 wa Tanganyika waliopo bungeni kwa sasa...
4 Reactions
53 Replies
569 Views
Jamii ya wapenda muziki wa gospel afrika mashariki imeshtushwa na kusikitika sana baada ya kusikia matamshi ya mwimbaji maarufu zaidi wa muziki wa gospel hapa Tanzania kuwa; 1. Mungu alimpa wito...
25 Reactions
154 Replies
6K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
514K Replies
29M Views
Citizenhttps://www.ke.co Kioko Nyamasyo on Monday, 6 May 2024 Wakati Kenya ikiendelea kuongoza kwenye ushindani wa biashara ya bandari katika Afrika Mashariki, kuna tishio kubwa kutoka Tanzania...
1 Reactions
8 Replies
91 Views
Wadau ni kipindi gani ajira za jeshi la polisi zinategemea kutangazwa?
0 Reactions
13 Replies
338 Views

FORUM STATS

Threads
1,852,912
Posts
49,583,306
Back
Top Bottom