Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nimepatwa ghafla na ivo vipele hapo palianza kuwasha ukikuna ndo vinaumuka hivo! kwa wenye utaalam wa matatizo ya Ngozi
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Ni kwamba meter moja ya umeme iwe na uwezo wa kulisha nyumba hadi 6 bila kuchangiana kwenye matumizi. Mteja akiomba meter, atasema anataka yenye output ngapi (line 1, 2 ,3, 4, 5 au 6) kulingana...
5 Reactions
18 Replies
647 Views
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya. Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
112 Reactions
383K Replies
11M Views
Wakati Tundu Lissu akiwa anaamini mwenyekiti wake Bw Freeman Aikael Mbowe analamba asali toka Kijiji Cha Nyuki kilichopo huko Singida, Tayari Kuna taarifa za chini chini kuwa asali pia...
7 Reactions
69 Replies
2K Views
Wakuu habari, naombeni msaada wenu, Iko hivi kuna manzi niko nae, ex wake alichukua simu ya manzi wangu na kuni block kwenye calls za kawaida. Yaani nikipiga au manzi akicheki simu zinakuwa...
4 Reactions
28 Replies
323 Views
Kuna lidude limewekwa bungeni nimeona hata wabunge wenyewe wanashangaa. Zaidi ya upigaji kwa aliyelileta je roboti lile MDEBWEDO linamanufaa gani kwa bunge? Kama manufaa yapo basi Serikali iwekwe...
0 Reactions
12 Replies
112 Views
Wakati Marekani kwa miaka kadhaa ikitumia mabilioni ya pesa kwenye vita, China imekuwa ikiwekeza mabilioni kwenye R&D (Research & Development) Matokeo yameanza kuonekana sasa, utawala wa Marekani...
11 Reactions
95 Replies
3K Views
kwamba eti kuna mganga wa kienyeji mahali Fulani, anaweza kumrudisha mpenzi wako alie potea au kukutoroka au kukufanya upendwe sana na boss wako ofisini au akupe dawa ya kupandishwa cheo kazini...
4 Reactions
48 Replies
362 Views
Kwa wale wasiotaka au wasiopenda Dodoma kuwa makao makuu ya nchi kwa sababu eti mji mdogo kuliko Dar es Salaam au Arusha, basi kwa taarifa yenu kuna nchi nyingi tena nchi kubwa na maarufu katika...
5 Reactions
33 Replies
1K Views
Habari wana jamvi. Sijajua hii ni kwa account yangu au na nyie pia. Ni kwamba kila nikiingia kwenye jukwaa la siku hizi kila nikiingia kwenye jukwaa la "GREAT THINKERS" sioni kiepngele kinacho...
0 Reactions
3 Replies
33 Views

FORUM STATS

Threads
1,854,460
Posts
49,632,240
Back
Top Bottom