Kuna lidude limewekwa bungeni nimeona hata wabunge wenyewe wanashangaa.
Zaidi ya upigaji kwa aliyelileta je roboti lile MDEBWEDO linamanufaa gani kwa bunge?
Kama manufaa yapo basi Serikali iwekwe...
Mkurugenzi Mkuu wa PPP nchini Bw David Kafulila kupitia kipindi cha DK 45 kinachorushwa na runinga ya ITV ameeleza kuwa Mwekezaji aliyewekeza kwa Ubia na Serikali ya Paul Kagame ya Rwanda kwa...
Wakuu habari za muda huu.
Mimi ni mkazi wa Kahama, Shinyanga, napenda sana nifanye kilimo cha vitunguu maji hasa ktk mikoa ya Singida na Manyara
Tafadhari sana kwa mkazi wa Singida na Manyara...
RUSSIA CONDUCTING MISSILE LAUNCHES OFF CALIFORNIA COASTLINE
MAY 16, 2024
A Notice to Air Missions (NOTAM) has been issued off the coast of southern California, alerting pilots of Russian...
Kuna kasumba imejengeka ambayo inaweka classes za watu kulingana na Mkoa wanakotokea.
Mathalani Mikoa ya Business Class (VVIP) ,Hawa Hujiona superclass na kwamba wanastahili attention
Dar
Arusha...
Jamiiforum ikigeuzwa ya mizaa mda sio mrefu itapuuzwa kuna social media nyingi sana zilivamiwa na watu wa mizaa soon zikapuuzwa hata jamiiforum ndo inapoelekea kuwa kijiwe cha watoto
mfano kwa...
1. Siku zote simamia kwenye ukweli na uhalisia, usikubali kubali tu.
2. Ongea kwa ujasiri na uwazi, tena ongea kwa speed ndogo sio unaongea haraka haraka kama chiriku.
3. Unapo ongea na mtu...
Naam kama ilivyokuwa kwa Cristian Ronaldo(Cr7) bingwa mara 5 wa UEFA champions league akiwa kama mchezaji hadi kupelekea kupewa jina la utani KING OF UEFA basi ndivyo kwa Don carlo kwake imekuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.