Mimi najutia nilifanyq investment badala ya kufanya savings
Mwisho wa siku biashara zimekufa sina savings hata moja
Najutia kutonunua viwanja pesa yote nikaweka kwenye miradi ambayo yote...
Tundu Lissu akielezea kuhusu muungano wa mchongo.
Aelezea kuhusu wapinga muungano wa kizanzibari kutekwa na kuwekwa vizuizini, Jumbe na wenzake.
Sikilizeni hapa cheche zake.
Makocha wa kigeni wakitimuliwa, anapewa timu kuiongoza huku viongozi wakiwa busy kutafuta mzungu kuja kuwa boss wake.
Yaani Mgunda anatumika mara 1 kama toilet paper au ndomu.
Hili ni tatizo.
Ndugu zangu Watanzania,
Nauliza kwa uchungu mkubwa sana kuwa ofisi ya msajili wa vyama vya siasa ipo wapi? Inafanya kazi gani? Imelala wapi huko usingizi wa pono mpaka inashindwa kuona hatari...
Moja kati ya vitu vizuri na kuvutia zaidi ni kuona jina zuri aliloku sev mwandani wako
Mbali na kutia faraja ila pia huleta hari kujihisi furaha kwa mwenza
Je umesev vipi jina la kipenzi chako...
Nape Nnauye ni mfano mbaya wa Viongozi wa Tanzania napata Mashaka hata namna alivyopata nafasi kubwa serikalini hii inamaanisha kuwa Kuna Nepotism kubwa sana serikalini kimsingi Nape Moses Nnauye...
Kwa kweli mzee wa watu anatia huruma hana wa kumsemea ameamua kunyamaza, ila nadhani akifungua mdomo Tina atatafuta pa kujificha.
Tina kila siku ni kumchamba mzee wa watu, yaani ukae kwenye ndoa...
Naandika haya kwa hisia nyingi sana baada ya kupita pita huko na huko kutafuta riziki maana imeandikwa asiye fanya kazi na asile.
Mwaka fulani nilishawahi kujikuta naangia huko viwandani kutafuta...
Mji wa Makka ndio kitovu cha Uislamu duniani. Kwenye mji huu ndiko iliko Ka’aba, au kama wanavyoamini na kuiita Waislamu Bait – ul- Haram; au Bait – ul- Allah, yaani ‘nyumba ya Allah’ au ‘nyumba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.