Paka wa kufuga anahitajika awe mdogo kabisa ambae hana mazingira ya kumuogopa mtu ili nianze kumfuga awe mzuri , mimi nipo kigamboni ofa yangu ni 30,000, na 5000 ya nauli
Awe paka msafi mdogo...
Wadau nimekuwa nazifuatia mali za CCM wakati wa mfumo wa chama kimoja cha siasa ilikuwa wananchi wote bila kujali ni mwanachama wa CCM au huna chama ni lazima uchangie Maendeleo.
Wakati wa ujenzi...
Hello brothers and sisters... This is something very important you should know.
When you have sex with another person, you exchange energy. If that person is carrying around guilt, shame or...
Kampeni za kuchangishana zimekua nyingi sana, wakiwa wazima mpaka wanajirekodi wakilawitiana, sasahivi ni kutia huruma tuu, watu maarufu wanapenda sana kuchangiwa na walala hoi
Kwa binadamu yeyote anayetamani kuona Tanzania inapiga hatua ya maendeleo katika kila nyanja, basi bila shaka atakuwa anafurahishwa na jitihada za Makonda katika kutatua kero za wananchi.
Makonda...
Ukiajiriwa hizi Taasisi . Wewe umeuaga umaskini mazima au uwe Zombi na mlevi au mpenda ngono kupitiliza. Posho kama zote pia ya kubrashia viatu nje nje
Salaam Wakuu,
Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi.
Tuzujane hapa kianachojiri..
Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
UTANGULIZI
Ningependa kumshukuru Mwenyezi MUNGU kwa fursa hii adhimu, ya kuleta mapendekezo chanya kwa maendeleo ya Taifa letu. Ningependa kuanza kwa kuuliza, Je Tanzania tuitakayo ni ipi? Ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.