Habari zenu wanajamvi,mlishawahi kujiuliza hawA wanawake waliojichubua NI Nani atakayewaoa?😂😂
Mwanamke ukijichubua jua kuwa huji kuolewa kamwe,hii ni kwa sababu hakuna mwanaume anapenda mwanamke...
Kumekuwa na wimbi kubwa sana utapeli, wizi na machapisho ya aibu (explicit pornography) kwenye mitandao ya kijamii hususan facebook. Tumeona account za watu aidha zikitumia kurusha maudhui haya...
Mimi ni mgeni jiji la Mwanza week hii naenda huko ntakaa mwezi mzima.30 days. Naombeni mnisaidie wapi nitapata Lodge au Hotel nzuri sehemu tulivu ambapo pia si mbali na Mjini.
Cost iwe tsh...
Amani iwe nanyi nyote.
Kuna jambo moja naliona na si kuona tu
Kila mwenye Biashara analalamika
Wafanyabiashara wa magari wanalalamikia LATRA na TRA Kwa uwepo wa ukwamishshaji na kutengeneza mambo...
Vipi Team turudiane tuanze kurudiana?
😂😂
Mnamfunga Azam mnaanza kusema mrudiane na Yanga.
Mliwaza kuomba kurudiana na Yanga kila kona mnapiga pambio leo kimewalamba😂
Nawaza sana nilisema kwa...
Tanzania secures $7.6 billion financing deal from Chinese lender to build new railway
President John Magufuli with China Exim Bank president Liu Liang after holding talks at Chamwino State Lodge...
Mbunge wa Geita vijijini mh Msukuma ameishauri serikali iachane na kufanya Biashara na badala yake Biashara ziachiwe sekta binafsi
Dr Msukuma alikuwa analia na kampuni ya Tanoil ambayo CAG...
VS
Tukutane saa 10 jioni kwa updates zaidi kuelekea Ubingwa 2023/2024.
Nguvumoja#
VIKOSI VYA LEO
Kagera Sugar FC
Simba SC
UPDATES....
2'
Simba wanakosa goli la wazi kabisa hapa.
Kupitia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.