Niliwekwa ndani na mke wangu baada ya mimi kugoma kutoa mchango wa kumdhamini kaka yake aliyekamatwa na pembe za ndovu.
Zilitakiwa milioni 5 kumdhamini kaka wa mke wangu, ndugu zake walijikusanya...
Mkurugenzi Mtendaji wa PPP Tanzania Mhe David Kafulila amesema ule mradi wa barabara za kulipia(toll road) uliokwama tangu awamu zilizopita Sasa kwenye awamu hii ya sita umeiva.
Mhe Kafulila...
Nimekuwa nikifuatilia hotuba za Lissu kwenye ziara zake. Kwanza nilichobaini ni uwepo wa siasa za kukigawa chama na nchi kwa ujumla. Lakini pia hasira na mihemko kwenye kauli zake apunguze na...
MTU AKIFA ANATAKIWA AZIKWE WAPI? MIGOGORO YA KUZIKA MAITI.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Mwezi Aprili nilifiwa na Bibi yangu kipenzi ambaye ndiye aliyenilea, kwangu alikuwa kama Mama...
Ndugu zangu Watanzania,
Hapa chini ni picha ya Mama mzazi wa Mheshimiwa Dkt Tulia Acksoni Mwansasu ,speaker wa Bunge letu pamoja na Rais wa umoja wa mabunge Duniani yaani IPU. Tukio hili la...
1. Kocha Anaweza Kucheza Kwa Timu Kama Atakavyo: Wengi hawajui hili lakini kocha ni sehemu ya timu na anaweza kumtoa mchezaji na kuingia uwanjani kucheza. Mfano wa kawaida ni Gianluca Vialli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.