Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Huna nyumba, au unanyumba ya chumba kimoja au viwili vya kulala wakati una familia Unatumia usafiri wa umma kwenye shughuli zako Kiasi cha pesa kinachoingia kwenye Account mwisho wa mwezi...
25 Reactions
157 Replies
3K Views
Na Mwandishi Wetu, Tanga. NAIBU Waziri wa Nishati Judith Kapinga amegawa mituni ya gasi 1500 kwa wakazi wa Kijiji cha Msomela Handeni Wilayani Handeni mkoani Tanga iliyotolewa na Kampuni ya Taifa...
0 Reactions
3 Replies
27 Views
Maisha ya chuo yana vurugu nyingi sana za kingono. Hosteli watu wanapigana "exile" kila siku. Waliopanga mitaani wanapika na kupakua pamoja kana kwamba wameoana. Wadada wengine wanapigwa "mtungo"...
1 Reactions
9 Replies
10 Views
Mkuu wa mkoa wa Njombe Antony John Mtaka umekuwa ukisifiwa na wengi Kwa kauli imara za kiongozi. Nakufahamu vizuri, wewe ulianza kama Polisi na ukaacha kazi mara ulipopewa nafasi ya kuwa mkimbiza...
5 Reactions
53 Replies
997 Views
Huduma za Internet kwa mitandao ya Tigo, Voda na Airtel kwa Tanzania ni mbovu mno. Mtu unaweka bundle lakini mpaka inaisha unakuta hujatumia ipasavyo kutokana na kukatika katika kwa huduma...
12 Reactions
74 Replies
3K Views
Kwanza Kabisa nawatakieni ninyi nyote Sabato yenye Baraka Nimesoma mahali kwamba Mtabiri wa taifa enzi za Nyerere Shehe Yahya Hussein alitabiri Uongozi ujao kuanzia awamu ya 4 hadi ya 6...
8 Reactions
22 Replies
794 Views
Huyu jamaa ukimtazama haraka haraka unaweza kumchukulia poa Ila spiritual na kiuzalendo yuko vizuri kuliko Mawaziri wote nadhani Mungu wa Mbinguni azidi kumpa Ujasiri 😂 Sabato endelevu njema!
0 Reactions
2 Replies
8 Views
Msaada jamani nimeibiwa simu jana jioni samsung s23ultra, wenye uwezo wa ku-trace kila kitu chake ninacho.
0 Reactions
6 Replies
138 Views
Nianze na salamu za mwaka huu wa 2024 kwa wanajukwaa wote,nilibanwa kidogo na shughuli nyingi mwaka huu ila sasa nimerudi tena jukwaani. Tunaanza; Tambua kuwa nafsi ndiyo sehemu ya mtu iliyobeba...
50 Reactions
396 Replies
22K Views
Maisha yamenitenda ubaya sana. Mwezi ya nne sasa nakula mlo mmoja tu Kwa siku(Wakati wa usiku). Ee Mungu unae watajirisha wengine naomba nikumbuke. Mm bado kijana mdogo mwenye ndoto nyingi sana...
16 Reactions
97 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,854,842
Posts
49,642,374
Back
Top Bottom