Je ni;
1: Juhudi, Maamuzi na Muda
2: Astrology (nyota kutokana na mwezi wa kuzaliwa)
3: Bahati (ngekewa)
4: Numerology (namba kutokana na siku uliozaliwa)
5: Mapenzi na Kibali cha Mungu
6...
Yanga wanaanza kuandamwa na majeruhi, wakitoa draw mbili na kufungwa mechi moja Simba anakuwa bingwa asipopoteza mechi hata moja, au yanga akipoteza mechi mbili simba akashinda zote basi Simba...
Labda Mimi elimu yangu ndogo, Mchina ana technology gani ya kumzidi USA🇺🇸
Nikiangalia wale mabwana kila sector wapo vizuri.
1) Upande wa ndege hawana mpinzani
2) Mambo ya space science ni hatari...
Salamaleko,
Shalom. Kama tunavojua kipindi hiki kwa maeneo ya vijijini ni kipindi cha kuvuna mazao na kuna niliko mimi kwa sasa debe la mahindi lina 7000 na debe la mpunga lina 5000. Maana yake...
Habari wana JF
Matumaini yangu wote mko poa kabisa.
Uzi huu ni kwaajili ya wote. Lengo ni kujadili changamoto zinazotukabili, pia Kupeana support katika mambo yetu hapa JF. Tupeane mbinu za...
Hakikisha katika kipato chako unachokipata usisahau kutoa sadaka
Usisahau kuwakumbuka watoto yatima
Usisahau kuwakumbuka wenye mahitaji maalumu
Usiwasahau wenye hali za chini
Katika harakati za mitandaoni, unajikuta umemwelewa mdada/mwanamke hapa JF.
Humjui sura, umbo, wala tabia yake ila moyo unamkubali tu.
Unajiuliza nini hiki sasa.
Sio mbaya kujaribu pengine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.