Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema litaendelea kuwashukuru wananchi wanaoendelea kushiriki katika jitihada za Serikali katika kuboresha mazingira bora na yakisasa katika vituo vya Polisi...
0 Reactions
3 Replies
97 Views
Wadau nawasabahi. Uchaguzi ndio huo unakaribia. CHADEMA wameshinda pambano lao dhidi ya Halima Mdee na kundi lake kwa kuishawishi Mahakama Kuu kuthibitisha uhalali wao wa kuwafukuza Halima Mdee...
2 Reactions
8 Replies
258 Views
memba unampa makavu laivu anaenda kukuripoti Kwa mods kwakupeleka ushahidi watusi ulilotukana unapigwa ban unaona fleshi kweli nimekosea ban ikiisha unafunguliwa unaendelea namijadala kistaarabu...
0 Reactions
14 Replies
15 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
514K Replies
29M Views
Ghafra bin Vuu! Unakutana na Mamba kaking'ang'ania kibunda mdomoni. Utachukua maamuzi gani?
0 Reactions
8 Replies
55 Views
Hivi kumbe hii michirizi ya sehemu za makwapani, tumboni, mapajani, nyuma ya magoti n.k huwapata hata wanaume pia? nilidhani ni kwa wanawake tu. Ni vizuri kushirikishana namna ya kuzizuia...
3 Reactions
37 Replies
431 Views
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amesema kinachotafsiriwa kuwa ni uchawa kwa sasa miongoni mwa makada wa chama hicho, ni njia mojawapo ya wananchi...
0 Reactions
5 Replies
50 Views
Rafiki yangu mpendwa, Kwenye safari ya kujenga utajiri, watu huwa wanashangaza sana. Wengi wanapokuwa na miaka 20 na 30 huwa wanaona ni mapema sana kwao kuhangaika na kujenga utajiri. Hivyo...
2 Reactions
14 Replies
355 Views
Naona kuna watu wanaleta ubishi usio na msingi kuhusu ukubwa wa producer namba moja Tanzania S2KIZZY aka Zombie. Lakini wote wanaobisha wanasukumwa na chuki hawana sababu ya msingi. Ukweli ni...
3 Reactions
6 Replies
47 Views

FORUM STATS

Threads
1,851,981
Posts
49,590,978
Back
Top Bottom