Ni wazi Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Chadema unafuatiliwa zaidi na viongozi wa CCM kuliko Wanachadema wenyewe
Dkt. Kigwangalla amechachamaa ukurasani X akidai Mbowe hataki kuachia Uenyekiti wa...
Wasalaam,
Dunia inaendelea kubadilika kila siku. Tunaona kuwa maneno yanapotea na badala yake namba na teknolojia ya kidijitali vinachukua nafasi kubwa.
Tangu tunapozaliwa, tunapewa vyeti vyenye...
Inafahamika kwamba kwa sasa tigo tanzania inamilikiwa na kampuni inayoitwa HONORA TANZANIA PLC, lakini kwenye website au hata kwenye huduma zao kama za bustisha n.k terms and conditions zinasoma...
Mwendesha mashtaka mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita, ICC, ametoa maombi ya kukamatwa kwa Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu na kiongozi wa Hamas katika Ukanda wa Gaza kwa...
20 May 2024
Ikungi, Singida
Ukoo pia wanakijiji wameamua baada ya kuligusa gari na yale matundu ya risasi watafanya tambiko la kijadi
https://m.youtube.com/watch?v=w8L0W7rtMX8
Msemaji wa...
Wananchi wa Mwanza tumekuwa tukifuatilia kwa karibu ujenzi wa jengo la abiria la uwanja wa ndege la Mwanza linalotarajiwa kuufanya uwanja huu kuwa wa kimataifa.
Aliyekuwa RC wa Mwanza Makalla...
Kanisa linadai picha hizo ni kwaajili ya kuvutia Ibadan ya watoto??.
Hapana!!! ... Kanisa linaanza kuingiliwa?.
.
.
.
Na huyu Ndio Pasta Mchome... Kwa tuliosoma Cuba , tunaelewa ...
Wadau hamjamboni nyote?
Kichwa cha habari chahusika hapo juu.
Nauliza hivi zile chopa mbili za Ulinzi zilizokuwa kwenye msafara na chopa ya Rais wa Iran iliyoanguka
Ziko wapi?
Zilifika salama...
Aliyekuwa mjumbe wa Kamati kuu ya Chadema na Mbunge wa Viti maalum amesema Jengo la makao makuu Mapya ya Chadema kule Mikocheni limenunuliwa kwa Fedha za Ruzuku na michango ya Wabunge wa Viti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.