JIMBO LA ITIGI LIMEOZA JAMANI:
ORODHA YA MIRADI AMBAYO ILITOLEWA FEDHA NA SERIKALI NA BADO HAIJAKAMILIKA KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA ITIGI MKOA WA SINGIDA.
Huyu Mwenyekiti wa Halmashauri...
Hawa watu hua najiulizaga, akili zao wote zinafanana, Mazoea yao na mbwa wao wanachukulia kila yule anayo..
Mtu dude unaona kabisa linakuja kwa kasi,
Anajichekesha tu "hahahaaaa usijali hang'ati"...
Na. Saidina Msangi, WF, Dodoma.
Serikali imesema kuwa imeweka kiwango maalumu cha ushuru wa forodha wa dola 500 za Marekani kwa kila tani moja ya ujazo kwenye mafuta ya kula kutoka nje ya nchi...
First 11 ya Simba msimu wa 2024-2025 (Hizo xx ni wachezaji wapya wa maana wa kigeni):
Ayoub/Abeli
Israel
Zimbwe/xx
Kazi/xx
Che Malone
Sarr/Hamisi
Chasambi/Balua
Ngoma/Mzamiru
xx/Kanoute/Freddy...
Wakuu nina degree ya Accounting and Finance nipo Arusha jinsia ni mwanaume kukaa home kunachosha. Kama kuna mtu ana sehemu anataka hata mtu wa kumbebea mafile Arusha mimi nipo.
Wakuu nawaheshimu sana kwa kuwa kanuni mojawapo ya ubinadamu sahihi ni kuheshimu usiemjua mpaka utakapomjuwa:
Mimi ni miongoni mwao wafuatliaji wa muziki wa aina tofauti duniani, kama POP na SOUL...
Match Day
NBC Premier League
Mashujaa Vs Yanga
Lake Tanganyika Stadium
Leo majira ya saa kumi jioni timu ya Mashujaa kutoka Kigoma itacheza na wageni wao timu ya Yanga kutoka Dar katika mechi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.