CHADEMA imedhihirisha kuwa inachukia matendo maovu, na kwenye uovu wamedhihirisha hawana subira wala simile, hawaangalii anayefanya hilo ni wa chama chao au mtu wa nje.
CHADEMA imejitofautisha...
Unakuta upo kwenye mahusiano na mwanaume,kazi yake kusifia unavyopendeza.
Ukimuomba kitu fulani,kiasi fulani cha fedha danadana nyiiiingi,vuta subira.
Ukipita au ukienda kwake au akikuita hotel...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Moja kati ya watu Ambao nlipinga sana kubinafsishwa kwa Bandari basi mimi ni mmojawao sikupenda kabisa huu mpango, Lakini nilipokaa na kukumbuka kipindi najitafuta nikiwa nafanya Vibarua Bandarini...
Chadema Ina Mbunge Mmoja Bungeni kama Sio wawili Hiyo inafnya Kiwe ni CHAMA chenye Umaarufu Mdogo licha ya Kujitutumua na Kufanya Maandamano ili kupata Ridhaa ya Wananchi kukiamini Tena..
Kitendo...
Lissu ni kijana wa mjini na amefanya siasa nyingi za hoja na za hovyo akiwa Bungeni na sasa majukwaani.
Kwa mtazamo wangu haya ndio majina ya wanachama 3 wa CCM wanaoweza kupambana na Lissu...
Match Day
NBC Premier League
Mashujaa Vs Yanga
Lake Tanganyika Stadium
Leo majira ya saa kumi jioni timu ya Mashujaa kutoka Kigoma itacheza na wageni wao timu ya Yanga kutoka Dar katika mechi ya...
Godbless Lema ameandika ukurasani X
Halafu wakitoka hapo wanasema CCM inatoa Fomu Moja
Siasa za Tanzania pasua kichwa sana aiseee
====
Nimeona andiko la BOB Wangwe na maandiko mengine ya watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.